Lundenga alivyo chemsha Miss TZ 2013

Lundenga alivyo chemsha Miss TZ 2013

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Lundenga anacheza na hili shindano
poor promotion
watu wengi walikuwa hawajui..
no proper media coverage

wasanii waku perform ndo kabisa
mganda hamna kitu

Jaydee akavaa kama anaenda Disco
jukwaa likammeza ,hakuwa hata na dancer mmoja

kaimba nyimbo moja, katoka
kurudi nyimbo ya pili....so poor perfomance

stage ilivyo kuwa na mirangi rangio myekundu utasema jukwaa la mganga wa kienyeji...

hili shindano wakiendelea hivi litapoteza mashabiki wengi...
 
Miss mwenyewe KOMWEE kuleeeeee! Zawadi sitaki hata kuziongelea! Shindano hili ndo lala salama unazani!? We fikiria yule Salha alipata jeep ya 72 millions, Nancy alipata Nyumba tbt huko, Wema walau alilamba ki rav 4. Badala liende mbele linarudi nyumaaa!!!!!!!!

Naona ludenga anabanaaa sana operation costs ili apate profits kubwaaa! Ni hatari!

Na REDDS ama TBL wachovu tuuuu! Bora hata enzi za VODACOM walivokuwa wanamwaga radhi kwa ku sponsor 1 Billion TSH kwa ka event ka usiku mmoja! Wapi Mwammy wa ukweee!!!!!! Renee Meza kidogo AZIMIE alivosikia hio sponsorship! Aka cancel uzamini hapo hapo on spot! Bora wawatafute Serengeti, ama warudi TCC sigara mabillionea!
 
Hakika hili shindano limejifia.
Huwezi kumchukua sauda mwilima na yule msoma magazeti wakae pale red carpet kuhoji watu,ilifikia kipindi kuna mdadabalikuja pale ikaonekana kama yeye ndio ana host pale maana walimshindwa akawa kama yeye ndio anawafanyia interview.

Hili shindano pia ni kweli lilikosa promotion,mimi mwenyewe nili libahatisha tuu.

Poor perfomance kutoka kwa jyde ever,hakuna alicho kifanya pale zaidi watu waliimba yahya sababu ni popular song,but nothing new done. Jyde anatakiwa abadilike hile perfomance si ya kiwango chake,kifupi alikula pesa ya bure na hakuna alichofanya zaidi ya watu kusikiliza play back. Pia michael ross alijitahidi kucheza lakini alishindwa kuimba vizuri hata ule wimbo wake unao julikana.

Pia waache kutumia cd wawe wana kodi band ili watu wapate live music na si wizi ulio fanyika majuzi hili lina wahusu waandaaji.

Pia walikosa mc mzuri na wakuchangamsha shindano ni vigumu mtu kukumbuka kama kulikuwa na mc au mshereheshaji.

Hizi ni dalili kuwa hili shindano lina kwenda kufa lakini wanayo nafasi ya kujirekebisha.
 
wamempa Kigari ambacho labda hata kwao kipo na hakitumii
udhamini gani sijui huu
bora Lundenga awaombe Voda warudi
hii ni aibu mno
 
Hakika hili shindano limejifia.
Huwezi kumchukua sauda mwilima na yule msoma magazeti wakae pale red carpet kuhoji watu,ilifikia kipindi kuna mdadabalikuja pale ikaonekana kama yeye ndio ana host pale maana walimshindwa akawa kama yeye ndio anawafanyia interview.

Hili shindano pia ni kweli lilikosa promotion,mimi mwenyewe nili libahatisha tuu.

Poor perfomance kutoka kwa jyde ever,hakuna alicho kifanya pale zaidi watu waliimba yahya sababu ni popular song,but nothing new done. Jyde anatakiwa abadilike hile perfomance si ya kiwango chake,kifupi alikula pesa ya bure na hakuna alichofanya zaidi ya watu kusikiliza play back. Pia michael ross alijitahidi kucheza lakini alishindwa kuimba vizuri hata ule wimbo wake unao julikana.

Pia waache kutumia cd wawe wana kodi band ili watu wapate live music na si wizi ulio fanyika majuzi hili lina wahusu waandaaji.

Pia walikosa mc mzuri na wakuchangamsha shindano ni vigumu mtu kukumbuka kama kulikuwa na mc au mshereheshaji.

Hizi ni dalili kuwa hili shindano lina kwenda kufa lakini wanayo nafasi ya kujirekebisha.

Lady Jaydee kajiaibisha mno
kamfanya Diamond aonekane kama Michael Jackson
utasema kulikuwa na msiba hivi
yaani msiba wa kitaifa so mbwembwe ziwe kidogo au hakuna
so poor performance
 
Hakuna mwana mziki aliye ni kera kama jyde that day,hivi jyde alishindwa kuandaa beat za nyimbo zake kwenye cd mpaka afatishe kama ajui kuimba?watu tunajua anaweza kuimba alaf ana haribu. Alinikera sana.

Hata waandaaji nili walahumu kwa kutoleta band.

Katika hili diamond atabaki kuwa mkali stejini.

Lady jaydee asirudie ujinga hule tena.
 
Lady Jaydee kajiaibisha mno
kamfanya Diamond aonekane kama Michael Jackson
utasema kulikuwa na msiba hivi
yaani msiba wa kitaifa so mbwembwe ziwe kidogo au hakuna
so poor performance

Nimehudhuria shoo za jide kama 3 hv za playback za kili, anaimba kama hataki vile ukilinganisha na wengine japo wote wanatumia njia hiyo hiyo .Sio siri bi mdada inabid abadirike sana tena sana apige shoo kama zaman.
 
Sikuwepo ukumbini ila nilicheki kupitia star tv kiukweli nilichokiona kilinifanya nishindwe kujizuia kuzima tv na kwenda kulala zangu. Sijui hawa waandaji wanamatatizo gani maana baada ya hili shindano kwenda mbele lenyewe linarudi nyuma mwaka hadi mwaka

Afu pamoja na hayo nina swali moja kuhusu haya mashindano, hivi Lundenga ndio mmiliki wa hili shindano au yeye ni kama kiongozi wa kupita tu?
 
Me sikuwa najua km miss tanzania ni last weekend though nilikua nasikiasikia tu nikajua labda bado sanaa khaaa nashangaa naweka startv eti miss tz..nimechek dk 5 tu nikaingia kulala hovyoooooo
 
Lady Jaydee kajiaibisha mno
kamfanya Diamond aonekane kama Michael Jackson
utasema kulikuwa na msiba hivi
yaani msiba wa kitaifa so mbwembwe ziwe kidogo au hakuna
so poor performance

Leo nilipata mgeni kwangu wakati tunapiga story ghafla akaniuliza uliangalia miss Tz?..nikamwambia ndio, akauliza hivi jay dee pale stejini alikuwa anafanya nn...loh jay dee kweli uliboaaaaaaa! Nikakumbuka nilikuwa nikiwatch kili music tour jaydee akiperform na prof. Jay, yaan jay dee anasimama upande mmoja tuu mpaka prof. Jay anachukua hatua ya kumvuta upande mwingine...hamna kitu pale!
 
Napita...

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
bora hilishindano lifutweee mweeeeeeeeeeeeeeeh,nahisi tz warembo wameisha
 
Kumbe la mwaka huu limeshafanyika.!!
 
Miss mwenyewe KOMWEE kuleeeeee! Zawadi sitaki hata kuziongelea! Shindano hili ndo lala salama unazani!? We fikiria yule Salha alipata jeep ya 72 millions, Nancy alipata Nyumba tbt huko, Wema walau alilamba ki rav 4. Badala liende mbele linarudi nyumaaa!!!!!!!!

Naona ludenga anabanaaa sana operation costs ili apate profits kubwaaa! Ni hatari!

Na REDDS ama TBL wachovu tuuuu! Bora hata enzi za VODACOM walivokuwa wanamwaga radhi kwa ku sponsor 1 Billion TSH kwa ka event ka usiku mmoja! Wapi Mwammy wa ukweee!!!!!! Renee Meza kidogo AZIMIE alivosikia hio sponsorship! Aka cancel uzamini hapo hapo on spot! Bora wawatafute Serengeti, ama warudi TCC sigara mabillionea!

Yotee umeongea ni sawa uko sawa sana lakini hapo uliposema miss komwee si kitu kizuri mpenzi,unadhani ye alipenda kua na komwe??so siku nyingine dont say those words hata ungekua wewe usingependa,kama your perfect yani hauna kasoro yoyote shukuru.
 
Back
Top Bottom