Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Ishia kusema "NI RAIS WETU"

Habari ya kumpenda haina umajumui.
Ukome kutujumuisha kwenye mambo yasiyofaa.
 
Kuna jamaa mmoja mjinga mjinga Facebook anaitwa Dr William wa marekani aliandika Jana, ukiweza mtafute
 
Nyie mnashangaa nini huku jana alishatimiza wajibu wake!
Kuna picha na video jana zimemuonyesha Rais akitua Mtwara Airport. Kwa hiyo kama ni kwenda amekwenda, ila hayo yaliyotokea huko huwezi jua. Labda anajisikia vibaya mapka ameshindwa kuhudhuria.
 
Acha uongo, jiwe kalala mtwara, ametoka leo saa 10:15
Hivi umesoma nilichoandika au ndio umeamua kujibu kwa hisia ni vema next time ukawa makini kusoma then ndio ujibu uwe na siku njema na maombolezo mema pia maana yawezekana kuomboleza kumechangia pia.
 
Kuna mtu aliandika mahali tokea wiki iliyopita kuwa kamwe hatahudhuria shughuli ya kuzika, (siyo zile shughuli za kuaga uwanjani)... jana wakati magu anaingia mtwara wadau wakamnanga kweli kweli lakini yeye akazidi kusimamia msimamo wake kwamba hataonekana kwenye maziko!

Aisee muda ni mwalimu mzuri sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…