I'm inItabidi ikodishwe tu coaster tu sasa maana naona watu ni wengi
Idadi kubwa ya Watanzania hawajui tofauti kati ya imani na ukweli/ uhalisia.Mkuu ujinga bado ni tatizo kubwa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Sio ujinga wa kusoma na kua na haya mavyeti bali kuelewa.
Idadi kubwa ya watu bado wanaamini uchawi. Sio wasiosoma tu hata wasomi, juzi niko mkoa flani kikazi kuna nimakutana na brother wangu anamtuhumu brother mwingine kwa uchawi, anamtoa tuhuma ni mtu amesoma sana na ana nafasi kubwa sana serikalini halafu anaetuhumiwa ni mtu ambae hakwenda shule kivile, nilisikitika sana.
Kuna kipindi tuliwahi kupata misiba mfululizo kwenye familia, tuhuma za kurogana zitakamalaki, kidogo zisambaratishe ukoo, hakuto kama tulivyowahi kua, watu wengine hawasalimiani hadi tukutane kwenye matukio.
Hali iko hivyo kwenye kwenye jamii kubwa ya watanzania, watu wanaamini kitu ambacho hakipo. Uchawi haujawahi kuwepo.
Nimeshawaambia watu wengi tu live waniroge lakini sijawahi kuona narogwa.
Nimesoma tena hiyo post uliyonukuu ya Hakimu Mfawidhi .Idadi kubwa ya Watanzania hawajui tofauti kati ya imani na ukweli/ uhalisia.
Uchawi una formula umeambiwa sana hili unakimbia kimbia tuKitendo cha kukupa hivyo vitu kinaweza kukupa nafasi ya kunipa sumu, ukaita uchawi.
Nimekuuliza huwezi kuvipata hivyo vitu kutoka kwangu kwa uchawi?
Hujajibu.
*****[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Umeona nini ulichofikiri ni uchawi na kwa nini ni lazima kiwe uchawi tu na si kitu kingine chochote?
Uchawi ni nini?
Nimekuuliza hapa.Uchawi una formula umeambiwa sana hili unakimbia kimbia tu
Sayansi na uchawi ni sawa tu vyote vina kanuni
Tunarudi kulekule kwamba waliita uchawi kuitukanisha tu lakini ndio hiyo sayansi
Usipoelewa ni ubishi wako tu
Mjadala ulitakiwa uishie nilipokwambia ni vizuri tu hata usipoamini kama kuna uchawiNimekuuliza hapa.
Uchawi ni nini?
Hujajibu.
Sitaki kuamini, nataka kujua.Mjadala ulitakiwa uishie nilipokwambia ni vizuri tu hata usipoamini kama kuna uchawi
Na natamani member wote wasingehangaika kuaminisha asiyeamini
Formula gani?Uchawi una formula umeambiwa sana hili unakimbia kimbia tu
Sayansi na uchawi ni sawa tu vyote vina kanuni
Tunarudi kulekule kwamba waliita uchawi kuitukanisha tu lakini ndio hiyo sayansi
Usipoelewa ni ubishi wako tu
Inasikitisha mkuu. Uchawi umevuruga amani ya ukoo, mtoto wa baba mkubwa anamlaumu wa baba mdogo kumroga, huyu anamlaumu huyu, mtu akifa lawama zinaenda kwa ndugu mwingine kua amemroga.
Ukitaka kupima imani za Watanzania wengi, angalia michango ya watu hata hapa JF tu.Inasikitisha mkuu. Uchawi umevuruga amani ya ukoo, mtoto wa baba mkubwa anamlaumu wa baba mdogo kumroga, huyu anamlaumu huyu, mtu akifa lawama zinaenda kwa ndugu mwingine kua amemroga.
Kuna kipindi alifariki ndugu yetu choka mbaya halafu akatuhumiwa ndugu yetu mwingine ambae ni phd kua ndie alirmroga, ilibidi nicheke, huyu mwenye phd ni well off mara 70 ya marehemu halafu akatuhumiwa ndie aliemuua marehemu kwa kumroga, nikawauliza sasa huyu angemroga huyu marehemu kwa kipi alichonacho ama kwa sababu gani hawana majibu wanasema mimi mbishi.
Kuondoa mzizi wa imani za kichawi kwenye jamii zetu za kiafrika ni kazi sana. Hua nasikitika sana kukuta mtu ameenda shule halafu amaamini uchawi.
Ofisini kwetu niliwatangazia idara nzima nataka kurogwa hawakuamini, nikawaambia nataka nirogwe wakasema nimechanganyikiwa[emoji23][emoji23]. Hua nawaambia uchawi haupo, wengine wanaanza kunielewa hasa nikiwapa shule ya mantiki.
Nikiona mtu anazungumzia uchawi najua kabisa hana akili. Uchawi ndio nini?
Wewe kila kilichoandikwa kwenye biblia ama quran unakichukulia kama kilivyo?
Kama ndio hivyo, unaweza kulala na watoto wako wa kike ukawatafuna kama rutu na kuwazalisha, kama hapana kwa nini wakati biblia imesema hivyo? Ama wewe ni muislamu unaweza kumpa mkeo baba yako amuonje kwanza kama quran inavyosema ama wewe ukajitoa kwa baba mkwe wako akuonje kwanza kama quran inavyosema iwapo wewe ni wa kike.
Hujathibitisha uchawi upo.
Hujaniroga nishindwe ku type hapa.
Niroge nishindwe ku type hapa uthibitishe uchawi upo.
Mkuu ujinga bado ni tatizo kubwa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Sio ujinga wa kusoma na kua na haya mavyeti bali kuelewa.
Idadi kubwa ya watu bado wanaamini uchawi. Sio wasiosoma tu hata wasomi, juzi niko mkoa flani kikazi kuna nimakutana na brother wangu anamtuhumu brother mwingine kwa uchawi, anamtoa tuhuma ni mtu amesoma sana na ana nafasi kubwa sana serikalini halafu anaetuhumiwa ni mtu ambae hakwenda shule kivile, nilisikitika sana.
Kuna kipindi tuliwahi kupata misiba mfululizo kwenye familia, tuhuma za kurogana zitakamalaki, kidogo zisambaratishe ukoo, hakuto kama tulivyowahi kua, watu wengine hawasalimiani hadi tukutane kwenye matukio.
Hali iko hivyo kwenye kwenye jamii kubwa ya watanzania, watu wanaamini kitu ambacho hakipo. Uchawi haujawahi kuwepo.
Nimeshawaambia watu wengi tu live waniroge lakini sijawahi kuona narogwa.
Siongelei imani.
Naongelea fact.
Hakuna ushahidi wa fact wa kuthibitisha uchawi upo.
Sasa akileta hivyo si unaweza hata kutumia Chemistry kumuua ukaita uchawi?
Unashindwa kuvipata hivyo vitu kwa uchawi?
Idadi kubwa ya Watanzania hawajui tofauti kati ya imani na ukweli/ uhalisia.
Inasikitisha mkuu. Uchawi umevuruga amani ya ukoo, mtoto wa baba mkubwa anamlaumu wa baba mdogo kumroga, huyu anamlaumu huyu, mtu akifa lawama zinaenda kwa ndugu mwingine kua amemroga.
Kuna kipindi alifariki ndugu yetu choka mbaya halafu akatuhumiwa ndugu yetu mwingine ambae ni phd kua ndie alirmroga, ilibidi nicheke, huyu mwenye phd ni well off mara 70 ya marehemu halafu akatuhumiwa ndie aliemuua marehemu kwa kumroga, nikawauliza sasa huyu angemroga huyu marehemu kwa kipi alichonacho ama kwa sababu gani hawana majibu wanasema mimi mbishi.
Kuondoa mzizi wa imani za kichawi kwenye jamii zetu za kiafrika ni kazi sana. Hua nasikitika sana kukuta mtu ameenda shule halafu amaamini uchawi.
Ofisini kwetu niliwatangazia idara nzima nataka kurogwa hawakuamini, nikawaambia nataka nirogwe wakasema nimechanganyikiwa[emoji23][emoji23]. Hua nawaambia uchawi haupo, wengine wanaanza kunielewa hasa nikiwapa shule ya mantiki.
Mungu ni nini?-Naomba kukuuliza kitu mkuu unaamini kuna Mungu? Ukinijibu hilo swali tutaendelea.
-Unaamini kuna Mungu? Tunaanzia hapo
-Mungu yupo unaamini hilo sio?
-kama unaongelea facts ni kwamba unaamin Mungu hayupo na uchawi haupo right?
Chemistry ipi inaweza kumuua mtu kwa kuchukua nguo yake bila kumgusa yeye?
Nyani ngabu nakuuliza tena leo unaamini kama kuna Mungu?
Maana nilikuuliza mahala fulani ukasepa hukutokea
Unaamini Mungu yupo?
Nimeshindwa kukujuza mkuu kama nilivyokwambia mimi sio mchawi lakini naamini uchawi upoSitaki kuamini, nataka kujua.
Umejikita kwenye domain tofauti kabisa.
Mimi naongelea Flora, wewe unaongelea Fauna.
Mimi sio mchawiFormula gani?
Ziorodheshe hapa...
Naona umeng'ang'a unaamini, unaamini, hivi unajua kama kuamini ni ujinga?-Naomba kukuuliza kitu mkuu unaamini kuna Mungu? Ukinijibu hilo swali tutaendelea.
-Unaamini kuna Mungu? Tunaanzia hapo
-Mungu yupo unaamini hilo sio?
-kama unaongelea facts ni kwamba unaamin Mungu hayupo na uchawi haupo right?
Chemistry ipi inaweza kumuua mtu kwa kuchukua nguo yake bila kumgusa yeye?
Nyani ngabu nakuuliza tena leo unaamini kama kuna Mungu?
Maana nilikuuliza mahala fulani ukasepa hukutokea
Unaamini Mungu yupo?
Ukiwaambia wathibitishe wanajificha nyuma ya visingizio lukuki; mara ooh, uchawi haufanyi kazi hivyo, mara ooh hauwezi kurogwa bila sababu, mara eti uchawi una kanuni zake [kanuni gani?], nk.Ukiwaambia wathibitishe uchawi upo, au hata waelezee tu kuu define uchawi ni nini, hawawezi.
Sasa hizo kanuni umezijuaje?Mimi sio mchawi
Kuamini unaruhusiwa kuamini chochote.Nimeshindwa kukujuza mkuu kama nilivyokwambia mimi sio mchawi lakini naamini uchawi upo