Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Mkuu ujinga bado ni tatizo kubwa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Sio ujinga wa kusoma na kua na haya mavyeti bali kuelewa.

Idadi kubwa ya watu bado wanaamini uchawi. Sio wasiosoma tu hata wasomi, juzi niko mkoa flani kikazi kuna nimakutana na brother wangu anamtuhumu brother mwingine kwa uchawi, anamtoa tuhuma ni mtu amesoma sana na ana nafasi kubwa sana serikalini halafu anaetuhumiwa ni mtu ambae hakwenda shule kivile, nilisikitika sana.

Kuna kipindi tuliwahi kupata misiba mfululizo kwenye familia, tuhuma za kurogana zitakamalaki, kidogo zisambaratishe ukoo, hakuto kama tulivyowahi kua, watu wengine hawasalimiani hadi tukutane kwenye matukio.

Hali iko hivyo kwenye kwenye jamii kubwa ya watanzania, watu wanaamini kitu ambacho hakipo. Uchawi haujawahi kuwepo.

Nimeshawaambia watu wengi tu live waniroge lakini sijawahi kuona narogwa.
Idadi kubwa ya Watanzania hawajui tofauti kati ya imani na ukweli/ uhalisia.
 
Kitendo cha kukupa hivyo vitu kinaweza kukupa nafasi ya kunipa sumu, ukaita uchawi.

Nimekuuliza huwezi kuvipata hivyo vitu kutoka kwangu kwa uchawi?

Hujajibu.
Uchawi una formula umeambiwa sana hili unakimbia kimbia tu

Sayansi na uchawi ni sawa tu vyote vina kanuni

Tunarudi kulekule kwamba waliita uchawi kuitukanisha tu lakini ndio hiyo sayansi

Usipoelewa ni ubishi wako tu
 
Nimekuuliza hapa.

Uchawi ni nini?

Hujajibu.
 
Mjadala ulitakiwa uishie nilipokwambia ni vizuri tu hata usipoamini kama kuna uchawi

Na natamani member wote wasingehangaika kuaminisha asiyeamini
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Umejikita kwenye domain tofauti kabisa.

Mimi naongelea Flora, wewe unaongelea Fauna.
 
Uchawi una formula umeambiwa sana hili unakimbia kimbia tu

Sayansi na uchawi ni sawa tu vyote vina kanuni

Tunarudi kulekule kwamba waliita uchawi kuitukanisha tu lakini ndio hiyo sayansi

Usipoelewa ni ubishi wako tu
Formula gani?

Ziorodheshe hapa...
 
Nimesoma tena hiyo post uliyonukuu ya Hakimu Mfawidhi .

Inasikitisha sana.
Inasikitisha mkuu. Uchawi umevuruga amani ya ukoo, mtoto wa baba mkubwa anamlaumu wa baba mdogo kumroga, huyu anamlaumu huyu, mtu akifa lawama zinaenda kwa ndugu mwingine kua amemroga.

Kuna kipindi alifariki ndugu yetu choka mbaya halafu akatuhumiwa ndugu yetu mwingine ambae ni phd kua ndie alirmroga, ilibidi nicheke, huyu mwenye phd ni well off mara 70 ya marehemu halafu akatuhumiwa ndie aliemuua marehemu kwa kumroga, nikawauliza sasa huyu angemroga huyu marehemu kwa kipi alichonacho ama kwa sababu gani hawana majibu wanasema mimi mbishi.

Kuondoa mzizi wa imani za kichawi kwenye jamii zetu za kiafrika ni kazi sana. Hua nasikitika sana kukuta mtu ameenda shule halafu amaamini uchawi.

Ofisini kwetu niliwatangazia idara nzima nataka kurogwa hawakuamini, nikawaambia nataka nirogwe wakasema nimechanganyikiwa😂😂. Hua nawaambia uchawi haupo, wengine wanaanza kunielewa hasa nikiwapa shule ya mantiki.
 
Inasikitisha mkuu. Uchawi umevuruga amani ya ukoo, mtoto wa baba mkubwa anamlaumu wa baba mdogo kumroga, huyu anamlaumu huyu, mtu akifa lawama zinaenda kwa ndugu mwingine kua amemroga.

Kuna kipindi alifariki ndugu yetu choka mbaya halafu akatuhumiwa ndugu yetu mwingine ambae ni phd kua ndie alirmroga, ilibidi nicheke, huyu mwenye phd ni well off mara 70 ya marehemu halafu akatuhumiwa ndie aliemuua marehemu kwa kumroga, nikawauliza sasa huyu angemroga huyu marehemu kwa kipi alichonacho ama kwa sababu gani hawana majibu wanasema mimi mbishi.

Kuondoa mzizi wa imani za kichawi kwenye jamii zetu za kiafrika ni kazi sana. Hua nasikitika sana kukuta mtu ameenda shule halafu amaamini uchawi.

Ofisini kwetu niliwatangazia idara nzima nataka kurogwa hawakuamini, nikawaambia nataka nirogwe wakasema nimechanganyikiwa[emoji23][emoji23]. Hua nawaambia uchawi haupo, wengine wanaanza kunielewa hasa nikiwapa shule ya mantiki.
Ukitaka kupima imani za Watanzania wengi, angalia michango ya watu hata hapa JF tu.

Kuna watu ukiwabishia kwa kusema habari za uchawi ni ujinga tu, unaweza kugombana nao na kutukanana nao.

Ukiwaambia wathibitishe uchawi upo, au hata waelezee tu kuu define uchawi ni nini, hawawezi.
 
Nikiona mtu anazungumzia uchawi najua kabisa hana akili. Uchawi ndio nini?

-Naomba kukuuliza kitu mkuu unaamini kuna Mungu? Ukinijibu hilo swali tutaendelea.

Wewe kila kilichoandikwa kwenye biblia ama quran unakichukulia kama kilivyo?

Kama ndio hivyo, unaweza kulala na watoto wako wa kike ukawatafuna kama rutu na kuwazalisha, kama hapana kwa nini wakati biblia imesema hivyo? Ama wewe ni muislamu unaweza kumpa mkeo baba yako amuonje kwanza kama quran inavyosema ama wewe ukajitoa kwa baba mkwe wako akuonje kwanza kama quran inavyosema iwapo wewe ni wa kike.

-Unaamini kuna Mungu? Tunaanzia hapo

Hujathibitisha uchawi upo.

Hujaniroga nishindwe ku type hapa.

Niroge nishindwe ku type hapa uthibitishe uchawi upo.

Mkuu ujinga bado ni tatizo kubwa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Sio ujinga wa kusoma na kua na haya mavyeti bali kuelewa.

Idadi kubwa ya watu bado wanaamini uchawi. Sio wasiosoma tu hata wasomi, juzi niko mkoa flani kikazi kuna nimakutana na brother wangu anamtuhumu brother mwingine kwa uchawi, anamtoa tuhuma ni mtu amesoma sana na ana nafasi kubwa sana serikalini halafu anaetuhumiwa ni mtu ambae hakwenda shule kivile, nilisikitika sana.

Kuna kipindi tuliwahi kupata misiba mfululizo kwenye familia, tuhuma za kurogana zitakamalaki, kidogo zisambaratishe ukoo, hakuto kama tulivyowahi kua, watu wengine hawasalimiani hadi tukutane kwenye matukio.

Hali iko hivyo kwenye kwenye jamii kubwa ya watanzania, watu wanaamini kitu ambacho hakipo. Uchawi haujawahi kuwepo.

Nimeshawaambia watu wengi tu live waniroge lakini sijawahi kuona narogwa.

-Mungu yupo unaamini hilo sio?

Siongelei imani.

Naongelea fact.

Hakuna ushahidi wa fact wa kuthibitisha uchawi upo.

-kama unaongelea facts ni kwamba unaamin Mungu hayupo na uchawi haupo right?

Sasa akileta hivyo si unaweza hata kutumia Chemistry kumuua ukaita uchawi?

Unashindwa kuvipata hivyo vitu kwa uchawi?

Chemistry ipi inaweza kumuua mtu kwa kuchukua nguo yake bila kumgusa yeye?

Idadi kubwa ya Watanzania hawajui tofauti kati ya imani na ukweli/ uhalisia.

Nyani ngabu nakuuliza tena leo unaamini kama kuna Mungu?

Maana nilikuuliza mahala fulani ukasepa hukutokea

Inasikitisha mkuu. Uchawi umevuruga amani ya ukoo, mtoto wa baba mkubwa anamlaumu wa baba mdogo kumroga, huyu anamlaumu huyu, mtu akifa lawama zinaenda kwa ndugu mwingine kua amemroga.

Kuna kipindi alifariki ndugu yetu choka mbaya halafu akatuhumiwa ndugu yetu mwingine ambae ni phd kua ndie alirmroga, ilibidi nicheke, huyu mwenye phd ni well off mara 70 ya marehemu halafu akatuhumiwa ndie aliemuua marehemu kwa kumroga, nikawauliza sasa huyu angemroga huyu marehemu kwa kipi alichonacho ama kwa sababu gani hawana majibu wanasema mimi mbishi.

Kuondoa mzizi wa imani za kichawi kwenye jamii zetu za kiafrika ni kazi sana. Hua nasikitika sana kukuta mtu ameenda shule halafu amaamini uchawi.

Ofisini kwetu niliwatangazia idara nzima nataka kurogwa hawakuamini, nikawaambia nataka nirogwe wakasema nimechanganyikiwa[emoji23][emoji23]. Hua nawaambia uchawi haupo, wengine wanaanza kunielewa hasa nikiwapa shule ya mantiki.

Unaamini Mungu yupo?
 
-Naomba kukuuliza kitu mkuu unaamini kuna Mungu? Ukinijibu hilo swali tutaendelea.

-Unaamini kuna Mungu? Tunaanzia hapo

-Mungu yupo unaamini hilo sio?

-kama unaongelea facts ni kwamba unaamin Mungu hayupo na uchawi haupo right?

Chemistry ipi inaweza kumuua mtu kwa kuchukua nguo yake bila kumgusa yeye?

Nyani ngabu nakuuliza tena leo unaamini kama kuna Mungu?

Maana nilikuuliza mahala fulani ukasepa hukutokea

Unaamini Mungu yupo?
Mungu ni nini?
 
Naona umeng'ang'a unaamini, unaamini, hivi unajua kama kuamini ni ujinga?

Mtu akisema naamini maana yake anasema yeye ni mjinga na yuko tayari kudanganywa.
 
Mtu pekee anaweza kuwasaidia msioamini(au msiojua kama mnavyosema) ni mhusika (mchawi) pekee

Sasa na hii dhana tuliyotupiwa kwamba ni imani potofu ndio inaleta shida hizi

Mjadala ulikwisha siku nyingi
 
Ukiwaambia wathibitishe uchawi upo, au hata waelezee tu kuu define uchawi ni nini, hawawezi.
Ukiwaambia wathibitishe wanajificha nyuma ya visingizio lukuki; mara ooh, uchawi haufanyi kazi hivyo, mara ooh hauwezi kurogwa bila sababu, mara eti uchawi una kanuni zake [kanuni gani?], nk.

Ingekuwa kweli uchawi upo na unathibitishika, hao watu wangekuwa washatuthibitishia siku nyingi sana.

Kwa vile hawawezi kuthibitisha, wamebaki kutoa visingizio tu!
 
Back
Top Bottom