Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Asinge baki.
Nimempa kakishika, kaishia kukiogopa tu.
Inawezekana aliacha zana zake za kazi mbali,na hakuja kwako kwa Nia mbaya.
Sasa aliambiwa na Nani kuwa umekuja na kitu gani toka huko,wewe ukamjibu kuwa umekuja na Dolla tu, Hadi ukampa Usd 500?
Jiulize Sana.
 
Ni kitu gani kinachokufanya utambue au uweze kutofautisha kuwa hii Ni hadithi na hii Ni kweli.
Hebu tusaidie ili nasi tuweze kutofautisha
 
Vipi Mkuu wachawi hawaibi nyota? Au kuharibiwa?
 
Mambo ya kumwekua mwekua ndo kiboko ya fitna!
Nataka nije nimwekue huku sumbawanga mana nakonda tu alafu siumwi, sina mademu/demu. Yani sielewi chanzo cha kukonda kwangu, nina mwaka nipo huku ila nimekonda balaaa, chakula napata vzr tu🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…