Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Asinge baki.
Nimempa kakishika, kaishia kukiogopa tu.
Inawezekana aliacha zana zake za kazi mbali,na hakuja kwako kwa Nia mbaya.
Sasa aliambiwa na Nani kuwa umekuja na kitu gani toka huko,wewe ukamjibu kuwa umekuja na Dolla tu, Hadi ukampa Usd 500?
Jiulize Sana.
 
Naona hii HADITHI, inafanana na zile hadithi tamu za Said Bawji enzi zileeee za gazeti la SANI. Likitoka leo likiwa na hadithi ambayo haijaisha, na kuambiwa ITAENDELEA TOLEO LIJALO, basi unakaa na hamu ya kulisubiri TOLEO LIJALO kwa zaidi ya miezi miwili. Tofauti na hadithi za John Rutayisingwa tulizokuwa tukizisoma kwenye gazeti la Mzalendo,kila Jumapili, kabla hajahamia kwenye gazeti la Dimba na Rai.
Dunia imebadilika. Jiandae, malizia simulizi yako yote pembeni, kisha uilete hapa, yabaki maoni ya wasomaji. Na huko magazetini, kukatiza katiza simulizi, ni kwa ajili ya biashara, ili ununue tena gazeti lijalo. Sasa sijajua mleta simulizi hii, hii katiza katiza, zina lengo gani!
Ni kitu gani kinachokufanya utambue au uweze kutofautisha kuwa hii Ni hadithi na hii Ni kweli.
Hebu tusaidie ili nasi tuweze kutofautisha
 
Huu mzigo vipi wakuu Kuna aliyewahi kuitumia ??
IMG20210210121010.jpg
 
Ukiwa na nyota kali unaweza kuyapata bila uchawi, lakini asilimia kubwa uchawi unakua mbele.

Wengine mgodini wanasota miaka 6 bila mgao hata wa Milioni ishirini.
Wengine wanaya tafuta mpaka uzee unawa kuta bila hata mgao, yani wanaishia kupata pesa za pombe tu.
Vipi Mkuu wachawi hawaibi nyota? Au kuharibiwa?
 
Mambo ya kumwekua mwekua ndo kiboko ya fitna!
Nataka nije nimwekue huku sumbawanga mana nakonda tu alafu siumwi, sina mademu/demu. Yani sielewi chanzo cha kukonda kwangu, nina mwaka nipo huku ila nimekonda balaaa, chakula napata vzr tu🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom