Mayole ngamba
Senior Member
- Jan 4, 2021
- 108
- 122
Hauna tamthilia nyingine babu mana nimedata na na wenge la huyo babu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idadi kubwa ya Watanzania hawajui tofauti kati ya imani na ukweli/ uhalisia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji23]Hio dawa ukiingia nayo pale bungeni sijui nani atapona.
Kila dakika utakua unaona mwanga mwekundu mara paaah chupa ya bia imevunjika then wimbo wa Taifa Tbc.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hio dawa ukiingia nayo pale bungeni sijui nani atapona.
Kila dakika utakua unaona mwanga mwekundu mara paaah chupa ya bia imevunjika then wimbo wa Taifa Tbc.
Inawezekana aliacha zana zake za kazi mbali,na hakuja kwako kwa Nia mbaya.Asinge baki.
Nimempa kakishika, kaishia kukiogopa tu.
Ni kitu gani kinachokufanya utambue au uweze kutofautisha kuwa hii Ni hadithi na hii Ni kweli.Naona hii HADITHI, inafanana na zile hadithi tamu za Said Bawji enzi zileeee za gazeti la SANI. Likitoka leo likiwa na hadithi ambayo haijaisha, na kuambiwa ITAENDELEA TOLEO LIJALO, basi unakaa na hamu ya kulisubiri TOLEO LIJALO kwa zaidi ya miezi miwili. Tofauti na hadithi za John Rutayisingwa tulizokuwa tukizisoma kwenye gazeti la Mzalendo,kila Jumapili, kabla hajahamia kwenye gazeti la Dimba na Rai.
Dunia imebadilika. Jiandae, malizia simulizi yako yote pembeni, kisha uilete hapa, yabaki maoni ya wasomaji. Na huko magazetini, kukatiza katiza simulizi, ni kwa ajili ya biashara, ili ununue tena gazeti lijalo. Sasa sijajua mleta simulizi hii, hii katiza katiza, zina lengo gani!
Hiyo Kama Ni silaha ya kivita Basi Ni ile ya Urusi S400Sasa hiyo unayo tembea nayo na mchawi hatambi nyumba kumi, ndio hiyo LUPATU.
Dada, hiyo hata mchawi apite zake tu (akiwa na uchawi mfukoni) lazima imvute.
Kila mahali mkuuWachimbaji washirikina sana
Vipi Mkuu wachawi hawaibi nyota? Au kuharibiwa?Ukiwa na nyota kali unaweza kuyapata bila uchawi, lakini asilimia kubwa uchawi unakua mbele.
Wengine mgodini wanasota miaka 6 bila mgao hata wa Milioni ishirini.
Wengine wanaya tafuta mpaka uzee unawa kuta bila hata mgao, yani wanaishia kupata pesa za pombe tu.
Mkuu hii safari nami sitaki kuikosa🤔🤔 naona zengwe nyingi sana juu yangu🤔Mkuu unaenda lini tena kwa babu,twende wote
Mambo ya kumwekua mwekua ndo kiboko ya fitna!Mkuu hii safari nami sitaki kuikosa🤔🤔 naona zengwe nyingi sana juu yangu🤔
Nataka nije nimwekue huku sumbawanga mana nakonda tu alafu siumwi, sina mademu/demu. Yani sielewi chanzo cha kukonda kwangu, nina mwaka nipo huku ila nimekonda balaaa, chakula napata vzr tu🤔🤔🤔Mambo ya kumwekua mwekua ndo kiboko ya fitna!
Eti ndugu Mshana JrHuu mzigo vipi wakuu Kuna aliyewahi kuitumia ?? View attachment 1703118