Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Anaitwa Salim Bawji
 
Mkuu kumbe ukiwa machimboni madini huwa hayapatikani bila uchawi?
Ukiwa na nyota kali unaweza kuyapata bila uchawi, lakini asilimia kubwa uchawi unakua mbele.

Wengine mgodini wanasota miaka 6 bila mgao hata wa Milioni ishirini.
Wengine wanaya tafuta mpaka uzee unawa kuta bila hata mgao, yani wanaishia kupata pesa za pombe tu.
 
Duh hatar sana.
Vipi mozambique kunaendeka kwa sasa?
 
Wenda kaka yako Jabir tusha mzika, maana huku vifo ni kama kupakaa mafuta tu.
Mwaka huu kuna watu zaidi ya 30 walipigwa na ngema (kufukiwa) kati yao kuna wa Tanzania 12, walipoteza maisha, wenda kaka yako Jabir alikuemo.
 
Mkuu mi mwenyewe huwa sipendi story za kukatisha, sema mambo yana ingiliana.

Mimi sio kama NUSU MAJIVU NUSU UVUMILIVU. Kkkkkkk
 
ukiachana na fursa za madini kuna fursa gani zingine mkuu.
Kibao tu, mfano warundi wanatukimbiza (Wabongo) kwa kolimo cha bustani tu.
Biashara yenyewe bado inalipa hasa ukiagiza nje.

Mikoa kama Nampula, Sofala (Beira) huko kote kibiashara kuna lipa. Nawabongo humo kote wapo.

Kiufupi fursa ziko nyingi, sema sisi wengine tushaamini kwenye madini, ndio tunachelewa.
 

Mkuu angalia pm yako
 
Mkuu mi mwenyewe huwa sipendi story za kukatisha, sema mambo yana ingiliana.

Mimi sio kama NUSU MAJIVU NUSU UVUMILIVU. Kkkkkkk
Mkuu, unanishangaza sana! Huu muda unaotumia kujibu comment zetu, si ungekuwa unasimulia kisa chako? Au ZANA unazotumia kusimulia hicho kisa ni tofauti na unachotumia kujibu maoni yetu?
 
Yule mwenzako mliopewa wote hivyo vibao yeye ilikuaje?
Mshikaji tulikuta tena mgodini, kipindi ambacho tayari nilikua nisha kirudisha kwa mwenyewe (mganga).
Yeye mwenyewe aliwachinja huko kwao kinoma, ndugu wa muhimu ni Shangazi yake na Bibi yake.
Nae pia walimtimua kijijini kwao, ila kwakuwa wanaishi wilaya moja na yule mzee, hivyo haikua jambo geni katika maeneo yao.
Wazee walimnyang'anya na kumfukuza.

Ila kwasasa kila mtu na lwake, sijui kama bado yuko hai ama vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…