Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Sasa hiyo unayo tembea nayo na mchawi hatambi nyumba kumi, ndio hiyo LUPATU.
Dada, hiyo hata mchawi apite zake tu (akiwa na uchawi mfukoni) lazima imvute.
Basi bamdogo wangu akinisimuliaga nafurahigi naonaga kama ngano ila zina ukweli.
Sema sisi hatuvukii newala tunapitia Lupaso,Ntojo mpaka utimbe namaputa , Ruvuma moja naskia ipo njia ingine hapa kati Chiungutwa jina lake limenitoka ila hizo za Panya hakuna document[emoji23][emoji23]
 
Mimi na kupenda kusikiliza story, Hizi habari Baba Angu mdogo ni mmakonde wa Del gado alishawahi kuniambiaga huko kwao zipo za dawa unatembea nayo popote utakapoenda basi nyumba 10 wajue hawawangi.
Zingine unapikwa kwenye pipa la maji ya moto yanayochemka[emoji23] Nyie uchawi upo
. Duuuh hyo noma mkuu ....Fanya kumuambia akupeleke huko uchemshwe afu utuletee feedback😄😄
 
Basi bamdogo wangu akinisimuliaga nafurahigi naonaga kama ngano ila zina ukweli.
Sema sisi hatuvukii newala tunapitia Lupaso,Ntojo mpaka utimbe namaputa , Ruvuma moja naskia ipo njia ingine hapa kati Chiungutwa jina lake limenitoka ila hizo za Panya hakuna document[emoji23][emoji23]
Naskia zito ndio alipikwa kwenye pipa la ndumba kudadadek
 
Panda gari ya Newala, ukishuka newala stand utachukua boda boda ziendazo Nkunya.
Boda boda itakuchukua mpaka mpakani, utagonga paspoti upande wa Tanzania, hivyo safari ya boda boda Itaendelea mpaka Ruvuma.

Ruvuma utapanda mtumbwi utakao kuvusha mpaka ng'ambo ya mto.

Ng'ambo ya mto utaikuta magresheni ya Mocambique, hapo napo utagonga paspoti yako.

Hapo Magresheni ya Mocambique utakutana na gari za mpakani, itakayo kupeleka mpaka Mueda (wilaya ya kwanza, ya mkoa wa Cabo del Gado ukitokea newala)

Mweda ukimuuliza mtu yeyote kua unakwenda Shapa kwa mzee LUPATU, hata mtoto mdogo atakupeleka.
Umeshamtengenezea utajiri huyo mzee kipindi hiki cha uchaguzi
 
Back
Top Bottom