The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Dawa yake Yesu kristo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya endelea basiSasa hiyo unayo tembea nayo na mchawi hatambi nyumba kumi, ndio hiyo LUPATU.
Dada, hiyo hata mchawi apite zake tu (akiwa na uchawi mfukoni) lazima imvute.
Watu wanavyotumia uchawi unadhani hawajui kuwa Yesu yupo?Dawa yake Yesu kristo tu
Hahaha kumwekua mwekua ni kuwaka waka kama ambulance vile au radi.Neno jipya nililoshika hapa Ni KUMWEKUA MWEKUA........
Sio mchezo
Basi bamdogo wangu akinisimuliaga nafurahigi naonaga kama ngano ila zina ukweli.Sasa hiyo unayo tembea nayo na mchawi hatambi nyumba kumi, ndio hiyo LUPATU.
Dada, hiyo hata mchawi apite zake tu (akiwa na uchawi mfukoni) lazima imvute.
. Duuuh hyo noma mkuu ....Fanya kumuambia akupeleke huko uchemshwe afu utuletee feedback😄😄Mimi na kupenda kusikiliza story, Hizi habari Baba Angu mdogo ni mmakonde wa Del gado alishawahi kuniambiaga huko kwao zipo za dawa unatembea nayo popote utakapoenda basi nyumba 10 wajue hawawangi.
Zingine unapikwa kwenye pipa la maji ya moto yanayochemka[emoji23] Nyie uchawi upo
we e msadukayo...yesu amefikaje hapa..??Dawa yake Yesu kristo tu
Kuwaka wakaKumwekua mwekua ndo kufanya nini?
aah mi staki [emoji23][emoji23]kuua watu. Duuuh hyo noma mkuu ....Fanya kumuambia akupeleke huko uchemshwe afu utuletee feedback[emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]Usikirudishe Kwanza tuwakomesheee
[emoji23][emoji23][emoji23]taa kwenye matakoKuwaka waka
Kunawale wadudu usiku wanakuwa nataa kwenye matako yao ile taa yao inavyowaka Nimtindo wakumekuwa mekuwa
Naskia zito ndio alipikwa kwenye pipa la ndumba kudadadekBasi bamdogo wangu akinisimuliaga nafurahigi naonaga kama ngano ila zina ukweli.
Sema sisi hatuvukii newala tunapitia Lupaso,Ntojo mpaka utimbe namaputa , Ruvuma moja naskia ipo njia ingine hapa kati Chiungutwa jina lake limenitoka ila hizo za Panya hakuna document[emoji23][emoji23]
Daaah wewe Ni legend [emoji2]yaaani gwiji Kama gwijiSio wote.
Wapo wanaochimba na kupata kwa bahati zao, ila wanachelewa kupata.
Ila kiukweli ili uishinde kesi ya madini lazima ukufuru.
Binafs nishalala makabulini, nishafukua maiti za watu, yote ni kutafuta madini tu.
Mungu anisameh.
wanapikwa watu na hawaunguiNaskia zito ndio alipikwa kwenye pipa la ndumba kudadadek
Wewe umejuaje?wanapikwa watu na hawaungui
Umeshamtengenezea utajiri huyo mzee kipindi hiki cha uchaguziPanda gari ya Newala, ukishuka newala stand utachukua boda boda ziendazo Nkunya.
Boda boda itakuchukua mpaka mpakani, utagonga paspoti upande wa Tanzania, hivyo safari ya boda boda Itaendelea mpaka Ruvuma.
Ruvuma utapanda mtumbwi utakao kuvusha mpaka ng'ambo ya mto.
Ng'ambo ya mto utaikuta magresheni ya Mocambique, hapo napo utagonga paspoti yako.
Hapo Magresheni ya Mocambique utakutana na gari za mpakani, itakayo kupeleka mpaka Mueda (wilaya ya kwanza, ya mkoa wa Cabo del Gado ukitokea newala)
Mweda ukimuuliza mtu yeyote kua unakwenda Shapa kwa mzee LUPATU, hata mtoto mdogo atakupeleka.