Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Mnapanga kwenda lini ili ikiwezekana nami nijoin??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wewe siku zote mabishano yetu miaka ya nyuma
uamini uwepo wa Mungu wala majinni km kiranga na ukawa unataka uthibitisho na wenzio kina Bennie 369 sijui yuko wapi huyu

Sasa iweje leo unataka LUPATU ujirinde na wachawi inafikirisha sana nyinyi wapinga MUNGU
Bado watu wanaamini uchawi mpaka leo?
Kiranga mwenzio mpk kuitaka LUPATU kakubari MUNGU yupo na UCHAWI upo
bado wewe rudi BONGO huku urogwe km hujaenda kufata LUPATU au SILVA MACOA kwa bibi kuzikwa ukiwa hai siku 2
 
Wewe siku zote mabishano yetu miaka ya nyuma
uamini uwepo wa Mungu wala majinni km kiranga na ukawa unataka uthibitisho na wenzio kina Bennie 369 sijui yuko wapi huyu

Sasa iweje leo unataka LUPATU ujirinde na wachawi inafikirisha sana nyinyi wapinga MUNGUKiranga mwenzio mpk kuitaka LUPATU kakubari MUNGU yupo na UCHAWI upo
bado wewe rudi BONGO huku urogwe km hujaenda kufata LUPATU au SILVA MACOA kwa bibi kuzikwa ukiwa hai siku 2
Mkuu umetaja majina ya zamani ya kutaka stamina nakupa heshima kwa kudumu.

Habari za kukubali uchawi upo umeshaweza kuzithibitisha baada ya miaka yote hii?
 
Back
Top Bottom