Lupita Nyong'o and Flaviana Matata

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kuna watu wana bahati zao duniani, ila huyu kazidisha, kila siku bidada anazidi Ku shine tu, Mara katoka kwenye magazine kubwa uko USA, kashakuwa nominated kwenye awards kubwa duniani na zenye heshima kama ile ya Oscar, juzi tu nimetoka kumuona kwenye kipindi maarufu duniani cha Ellen, achilia mbali kile cha Oprah.

Leo hii ikitokea events kubwa ya filamu uko Hollywood basi bidada lazima aalikwe, kitendo ambacho hadi yeye kinamshangaza. Je, ni ile filamu ya12 Years a slave imezaa matunda au kuna nyingine tena? Bidada anakutana na watu maarufu duniani, wanamitindo maarufu tena wengine wanamshobokea live. Lupita Nyong'o, what is behind all her suddenly success? Who is she na ametokea wapi?

Kwa Africa naweza kusema ndo the leading aka number one celebrity anayefanya vizuri si tu kwenye filamu bali hadi kwenye fashion, bidada ni nouma, kashafanya kazi za matangazo na makampuni kibao huko USA.

I wish FLAVIANA MATATA could do the same, sababu sioni ambacho Lupita anacho ambacho dada yetu Flaviana hana, ukizingatia wote wana muonekano sawa, wana access ya kukutana na watu maarufu duniani na wote wametokea East Africa.

Je, Flaviana, umeshawahi kujipendekeza kwa pacha wako Nyong'o walau na sisi tunga'e? Umeshawahi kujiuliza what made her more successful and famous than you, ukizingatia mna access sawa ya kufanya kazi na macelebrity wa huko?
 
Kabisa ndugu....huwezi lalia bahati ya mwenzio. Eti kisa mwenzio kapita huku kafanikiwa na wewe unataka umfatishe mambo hayaendi hivyo.
 
Kabisa ndugu....huwezi lalia bahati ya mwenzio. Eti kisa mwenzio kapita huku kafanikiwa na wewe unataka umfatishe mambo hayaendi hivyo.

Makavu live
 
hata Flavy nae anajitahidi.............

ila kila mtu ana nyota yake Lupita yuko very Bright kuna siku nilikuwa naangalia interview yake

yaani the way she talks nakuimpress ile mbaya
 
hata Flavy nae anajitahidi.............

ila kila mtu ana nyota yake Lupita yuko very Bright kuna siku nilikuwa naangalia interview yake

yaani the way she talks nakuimpress ile mbaya

Yah inaonekana ana vitu vya ziada, maana wazungu hawashobokeagi mamburula, sijui historia yake ikoje binamu, shule aliyosoma labda, familia yake nk.
 
Navojua ni actress wa muda sana,kaigiza kwenye 'shuga' ya MTV Base,pia kasomea mambo ya acting and drama ,lazima awe NEXT LEVEL...
 
Yah inaonekana ana vitu vya ziada, maana wazungu hawashobokeagi mamburula, sijui historia yake ikoje binamu, shule aliyosoma labda, familia yake nk.

Her history is impressive, anaenda sambamba na wazungu saivi. Kazaliwa, kasoma na kukaa nje kwa wingi tu
 
hata Flavy nae anajitahidi.............

ila kila mtu ana nyota yake Lupita yuko very Bright kuna siku nilikuwa naangalia interview yake

yaani the way she talks nakuimpress ile mbaya

Kasoma Yale bidada... very bright
 
Mkuuu Muanzisha Maada Umeona Mbali Lakini Umesahau Kuwa Hollywood Sio Bongo Movie Ambapo Mtu Ukiwa Maarufu au Uwe Mrembo au Uwe Na Skendo Tu Unaingia Na Kua Muigizaji... In Hollywood It Takes More ThAn That..... Ndo Maana Lady Gaga Hatumuoni Kwenye Movie... Ila Bongo Kila Miss Tz Lazma Awe Muigizaj
 
ngoja nimtumie namba ya babu, mafanikio siku 3 tu :smile-big:
 
Lupita Nyong'o was born in Mexico, to Kenyan parents. She was raised in Kenya and educated in the USA. She is a graduate of the Yale University School of Drama's Acting program.
 
Ana exposure ya kutosha na anajituma, hakulewa misifa japo katoka familia bora. Tutaendela kusubiri sana kama hatujibidishi na kujituma kufanya jambo kwa umakini na ukamilifu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…