warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Kuna watu wana bahati zao duniani, ila huyu kazidisha, kila siku bidada anazidi Ku shine tu, Mara katoka kwenye magazine kubwa uko USA, kashakuwa nominated kwenye awards kubwa duniani na zenye heshima kama ile ya Oscar, juzi tu nimetoka kumuona kwenye kipindi maarufu duniani cha Ellen, achilia mbali kile cha Oprah.
Leo hii ikitokea events kubwa ya filamu uko Hollywood basi bidada lazima aalikwe, kitendo ambacho hadi yeye kinamshangaza. Je, ni ile filamu ya12 Years a slave imezaa matunda au kuna nyingine tena? Bidada anakutana na watu maarufu duniani, wanamitindo maarufu tena wengine wanamshobokea live. Lupita Nyong'o, what is behind all her suddenly success? Who is she na ametokea wapi?
Kwa Africa naweza kusema ndo the leading aka number one celebrity anayefanya vizuri si tu kwenye filamu bali hadi kwenye fashion, bidada ni nouma, kashafanya kazi za matangazo na makampuni kibao huko USA.
I wish FLAVIANA MATATA could do the same, sababu sioni ambacho Lupita anacho ambacho dada yetu Flaviana hana, ukizingatia wote wana muonekano sawa, wana access ya kukutana na watu maarufu duniani na wote wametokea East Africa.
Je, Flaviana, umeshawahi kujipendekeza kwa pacha wako Nyong'o walau na sisi tunga'e? Umeshawahi kujiuliza what made her more successful and famous than you, ukizingatia mna access sawa ya kufanya kazi na macelebrity wa huko?