Muwe na mazoea ya kubofya link, kusoma na kuelewa au kufanya karisechi kidogo tu kivyenu kwanza, kabla ya kurukia kwenye comment. Kujiongeza angalau hata kidogo tu sio hatia. Kampuni ya production ya filamu hiyo ndio inaingiza hela hizo. Ila kwa mastar wa filamu hiyo Lupita Nyong'o na Winston Duke donge lao linaendelea kuongeza uzito. Hela zao, wao binafsi, sio za nchi zao. Komalieni kwenye pumba, wivu na majungu, mwenzenu huyooo anaendelea kusonga mbele huku akizidi kupeperusha bendera ya nchi yake ya Kenya kila uchao.