Lupita Nyong'o awa gumzo tena: Filamu iliyomshirikisha yaingiza hela takriban KES 7Billion ndani ya siku tatu za kwanza

Lupita Nyong'o awa gumzo tena: Filamu iliyomshirikisha yaingiza hela takriban KES 7Billion ndani ya siku tatu za kwanza

Labda zisipitike mikononi mwa Ruto

Sent using Jamii Forums mobile app
Muwe na mazoea ya kubofya link, kusoma na kuelewa au kufanya karisechi kidogo tu kivyenu kwanza, kabla ya kurukia kwenye comment. Kujiongeza angalau hata kidogo tu sio hatia. Kampuni ya production ya filamu hiyo ndio inaingiza hela hizo. Ila kwa mastar wa filamu hiyo Lupita Nyong'o na Winston Duke donge lao linaendelea kuongeza uzito. Hela zao, wao binafsi, sio za nchi zao. Komalieni kwenye pumba, wivu na majungu, mwenzenu huyooo anaendelea kusonga mbele huku akizidi kupeperusha bendera ya nchi yake ya Kenya kila uchao.
bila shaka hizo fedha zitatumika kuondoa njaa kule baringo na turkana.
 
Itasaidia kuondoa njaa huko ukameni ???? Kuna clip niliona citizen TV kima wanagombea maji na wakenya. Saidianeni mpate maji chakula tutawapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kuwa ni muigizaji mzuri na black directors wanampenda sana ingawa ma directors wazungu wanabanabana lakini nyota yake inang'aa sana.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Muwe na mazoea ya kubofya link, kusoma na kuelewa au kufanya karisechi kidogo tu kivyenu kwanza, kabla ya kurukia kwenye comment. Kujiongeza angalau hata kidogo tu sio hatia. Kampuni ya production ya filamu hiyo ndio inaingiza hela hizo. Ila kwa mastar wa filamu hiyo Lupita Nyong'o na Winston Duke donge lao linaendelea kuongeza uzito. Hela zao, wao binafsi, sio za nchi zao. Komalieni kwenye pumba, wivu na majungu, mwenzenu huyooo anaendelea kusonga mbele huku akizidi kupeperusha bendera ya nchi yake ya Kenya kila uchao.
JF ukiwa serious sana utapata tabu. Kuhusu Lupita hongera zake, Tzd tutapata kamgao kidogo coz mama yake ni mtz amezaliwa Mwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lupita-nyongo.jpg
Kwa mara nyingine uigizaji wa mkenya Lupita Nyong'o umesifiwa sana kule Hollywood. Performance ya Lupita kwenye movie mpya ya horror 'Us' imeibua maoni kutoka kwa watazamaji na wataalamu wa filamu pia, kwamba huenda Lupita akajishindia tuzo lingine la Oscars. 'Us', filamu mpya ya horror, kutoka kwa producer Jordan Peele, imeingiza KES 70Billion($70.3Million) ndani ya siku tatu za kwanza za kutizamwa kwenye sinema. Hii ni rekodi mpya kwenye nyaja ya production ya filamu Hollywood. https://www.standardmedia.co.ke/bus...pita-nyong-o-s-new-movie-rakes-in-sh7-billion
10504752-0-image-a-7_1551572893236.jpg
image
God bless her
 
JF ukiwa serious sana utapata tabu. Kuhusu Lupita hongera zake, Tzd tutapata kamgao kidogo coz mama yake ni mtz amezaliwa Mwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mambo ya kuwa serious wala nini. Mimi nipo easy kama kawa, ila ni mawaidha mazuri ya bure. Kwenye hii dunia ya sasa usipokuwa na mazoea ya kusoma kwanza kabla ya kureact, [emoji1] utaliwa. Iwe ni gazeti, cheque au vijikaratasi kule nyuma kwenye vitafunio au kwenye kandarasi, haijalishi. Shauri yenu.
 
Ukweli ni kuwa ni muigizaji mzuri na black directors wanampenda sana ingawa ma directors wazungu wanabanabana lakini nyota yake inang'aa sana.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Kuna muamko mpya wa directors na producers weusi wa filamu kule Hollywood. Baada ya miaka mingi ya wazungu kuwabagua na kuendeleza agenda zao kupitia filamu. Hao madirectors weusi wanachomoa vitu vikali sana siku hizi. Miaka ya baadaye wao ndio watakuwa wamebobea kwenye taaluma hiyo kama ilivyo kwenye michezo na mziki.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
The best professionals are Jaluos, whether in acting, Doctors or engineers.
This is the only tribe in 3 EAC countries(Tz,UG,KE) Much respect
Luos are even in Ethiopia Sudan and Egypt but the Kenyan Luos are the main thing. Every tribe in Kenya represents the best of its kind. Another good example is the kalenjins, they are in Uganda too but only the Kenyan ones make the best marathoners. The kenyan waswahili are also the best and maasais too.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bila shaka hizo fedha zitatumika kuondoa njaa kule baringo na turkana.
[emoji123][emoji123][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji1241][emoji1241]
You must be an adolescent boy going through life's crisis. Pole
leo tena umetimbuliwa boot hadi unahara maneno
Muwe na mazoea ya kubofya link, kusoma na kuelewa au kufanya karisechi kidogo tu kivyenu kwanza, kabla ya kurukia kwenye comment. Kujiongeza angalau hata kidogo tu sio hatia. Kampuni ya production ya filamu hiyo ndio inaingiza hela hizo. Ila kwa mastar wa filamu hiyo Lupita Nyong'o na Winston Duke donge lao linaendelea kuongeza uzito. Hela zao, wao binafsi, sio za nchi zao. Komalieni kwenye pumba, wivu na majungu, mwenzenu huyooo anaendelea kusonga mbele huku akizidi kupeperusha bendera ya nchi yake ya Kenya kila uchao.
This Turkana that you are so obsessed with has a population of about 800k people and makes up less than 2% of Kenya. You are basically majoring on the minor.
post yangu moja imesababisha najibiwa na wakenya wote.

honestly speaking, i didn't know i'm one of very the powerful and influential person here on jf.

thank you nyang'aus,please keep quoting me. [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hahaha! 😀 Umeleta umaandas wako huku? Sio sifa, wanakunukuu kwa uzero brain wako, basi. Kila comment humu ina kitufe cha kunukuu, waambie mods wakifiche kwenye kila comment yako.
 
Boot inakuwasha?
[emoji123][emoji123][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji1241][emoji1241]post yangu moja imesababisha najibiwa na wakenya wote.

Back
Top Bottom