Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Nalijuaga kasheshe la uvunguniHahaha....Madam B unakumbuka uvunguni sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nalijuaga kasheshe la uvunguniHahaha....Madam B unakumbuka uvunguni sio?
Haaa haaa....nimeshangaa aseeWashamba wengi humu wanadhani katoka kwnye kitu kama Bongo movie ya Kenya na kwenda straight Hollywood .
Umeongea ukweli mkuu!...watu wanafikiri wakina Beyonce, Michael Jackson wanajichubua kwa kupenda? La hasha, ni yale maubaguzi tu unakuta mtu unadata....Hata huko America, ukija kwa masuala ya weusi bado light skinned people wanapata nafasi zaidi ya watu walio na muonekano wa Lupita , wote kina Beyonce Rhyhana na wengine , weupe wao una wasaidia ku market biashara zao .
Hemedi si ana Phd lakini mkuu!Hawa wakwetu elimu zilipita kushoto??
Kuigiza ni Talent tu mama, sio kila kitu usingizie Elimu. Wanyama nae utasema wazazi waliwekeza kwenye Elimu? Na Samata Je? Hata hapa kwetu vipaji hivyo vipo, sema malengo ya waigizaji wenyewe na kuzichangamkia fursa tumekua wazembe sana. Wapo watu wanaelimu lkn malengo na pengina anaridhika na hicho kidogo anachopata ndo tatizo kubwa, tumeona kwenye Football, Music na hata Maigizo pia.Wazazi wake waliwekeza kwenye elimu yake, usione vyaelea viliundwa
Ni kweli usemayo lakini wazazi wake walihakikisha anajua lionhearted Kispanish vizuri, Kiingereza na KiswahiliKuigiza ni Talent tu mama, sio kila kitu usingizie Elimu. Wanyama nae utasema wazazi waliwekeza kwenye Elimu? Na Samata Je? Hata hapa kwetu vipaji hivyo vipo, sema malengo ya waigizaji wenyewe na kuzichangamkia fursa tumekua wazembe sana. Wapo watu wanaelimu lkn malengo na pengina anaridhika na hicho kidogo anachopata ndo tatizo kubwa, tumeona kwenye Football, Music na hata Maigizo pia.
Kwa mara ya kwanza naona unaandika zaidi ya mistari 3!! Mtoto mvivu wewe!!Umeonangalau gea ukweli mkuu!...watu wanafikiri wakina Beyonce, Michael Jackson wanajichubua kwa kupenda? La hasha, ni yale maubaguzi tu unakuta mtu unadata....
Kuna girls group walikuwa wanajiita 3T, wako watatu hao wadada, sasa mmojawapo akawa ni mweusi hivi kama Lupita, wee fasta walimwambia ajikwatue au watamdismiss kwenye group lao!
Mkuu umemaliza, ilitakiwa kwenye huu uzi iwepo hii comment moja tu bas zngne porojo tu.Sisi huku tunaangalia kalio,hips ,weupe na sura,kipaji sio muhimu kwani tutaelekezana mbele ya safari,ila ukiwa navyo hivyo umeshafuzu.Yule Lupita na yule general wa Wakanda wangekuwa bongo wangeambiwa watafute kazi nyingine ya kufanya,kwani vipaji wanavyo ila vile vigezo vya kalio,hips,weupe na sura hawana.Sisi watanzania sehemu nyingi tunaendaga vice versa na ndio maana kuja kumuona mbongo hollywood kwa hivi vigezo vyetu sizani kama tuweza na siku hizi bongo movie upande wa wanaume wanachukua mashombe shombe,wauma lips ,hawaangalii sana vipaji.Ndio maana sanaa ya bongo inakosa ubunifu sababu haina watu wenye vipaji halisi,tutaendelea kumark time tu hapa hapa bongo.Mimi naonaga bora commedy za kibongo zina watu wenye vipaji lkn hizi tamthilia zimekosa mvuto (mfano siri ya familia ,mishepu imejaa kibao utafikiri wanatafuta miss bantu).
Panda juu ya mti itafungukaHiyo pesa nyingi ndio shs ngapi sasa?maana hako ka video hakafunguki sasa
Ungeweka lako tukaliona lkn lisiwe la weupe wa dukani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi kwanini nikionaga kwapa la mwanamke mweusi huwa nakumbuka mbali?
Kuonyesha mapungufu uliyo nayo kichwani kwenye uma wa watu yaweza kuwa si makosa yako bali ya m....... Empty Set kabisaWe mseng.e nini?
Nimekuuliza wewe?
Acha shobo zako.
Empty set baba yako mzazi.
Hata kama yakiwa ya M wangu, hayakuhusu.Kuonyesha mapungufu uliyo nayo kichwani kwenye uma wa watu yaweza kuwa si makosa yako bali ya m....... Empty Set kabisa
Sawa dume jikeHata kama yakiwa ya M wangu, hayakuhusu.
Nawewe si una M, mwambie akurithishe, au mshazika?
Yaani wanaume wengine mnakuwa kama macchoko tena mahanithi msiotahiriwa jandoni.
Hv wewe unashoboka na mimi unadhani nitakuachia eti kisa uma wa watu?
Qumma mako, nini uma....hata ingekuwa kijiko poa tu.
Unadhani nitaogopa kukujibu panya mmoja wewe kisa uma wa humu?
Kuna mtu ananilisha humu K wewe?
Mmeshaambiwa tangu jana....acheni kushobokea shobokea comment za watu
Mtazalishwa bila shahawa.
Ulitumwa uni-quote?
Ukajua nitakuachia au.
Mbona wengine wamepita kimya...ila wewe ukasimamisha mapumbbu yako jukwaani ku-comment.
Na ulichokitafuta ushakipata
Na Mimi nina uume kama wako....nichezee nikutie mimba.
Usidhani akina Madame wote humu ni wanawake.
Panya buku we!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] dahHuwa unakumbuka nini? hahahahahahaha lol! umenikumbusha mtu humu aliwahi kuandika akiona kwapa la mwanamke ambalo halijanyolewa basi hupandisha mzuka.