Luqman Maloto (Mwanahabari): (Hotuba ya Rais Samia) haikuwa hotuba yenye hadhi ya Mkuu wa Nchi

Wamemchonganisha rais na wananchi, mataifa makubwa,wadhili, pamoja WORLD BANKS NA IMF na mwakani kuna uchanguzi mkuu ? Waachia nafasi. au rais ameamua mbwai na iwe mbwai ? Hata gombea mwakani?
 
Press ya Ikulu ndo hotuba ya Rais aliyoandaliwa na wasaidizi wake. Yale maneno aliyoyatoa live aliteleza tu.

Naamini soon ataanda kikao na Mabalozi wa US, Canada, UK na EU kuweka mambo sawa!
 
Na huo ndio ukweli mchungu , ila angalia vizuri wasije kukuunganisha na Boni Yai kwenye tuhuma za kubumba maana hawatakagi kuambiwa ukweli ama kukosolewa. NI USHAURI TU.
 
Waliomwandalia rais hotuba hawana lengo nzuri kabisa, wamenganisha rais na wananchi, na wafadhili IMF na WORLD BANKS. mwakani kuna uchanguzi mkuu pesa anategemea huko huko na amehalibu.
Msomaji wa hotuba alishikiwa bunduki? Na je, kama msomaji ndiye aliyeamuru iwe kama ilivyo?
 
Waliomwandalia rais hotuba hawana lengo nzuri kabisa, wamenganisha rais na wananchi, na wafadhili IMF na WORLD BANKS. mwakani kuna uchanguzi mkuu pesa anategemea huko huko na amehalibu.
Mnamchukulia poa sana huyu Raisi. Mnamuona hajui kusoma, hajui baya na zuri, hajui kutafakari chochote.
Mnamdharau sana, ndio maana mnahisi anasoma chochote kinachoandikwa
 
Africa tumemkosea nini mungu, kuwa na Rais kichwa panzi kama huyu
 
Mwandishi akili nyingi sana
 
Mnamchukulia poa sana huyu Raisi. Mnamuona hajui kusoma, hajui baya na zuri, hajui kutafakari chochote.
Mnamdharau sana, ndio maana mnahisi anasoma chochote kinachoandikwa
Kama alijua basi inatakiwa atoka hadhalani na kuomba msamaha hassa kwa mabalozi na wapinzani., Vihehere,na kuota mikia ni matusi makubwa cheo caha uraisi
 
Wamemchonganisha rais na wananchi, mataifa makubwa,wadhili, pamoja WORLD BANKS NA IMF na mwakani kuna uchanguzi mkuu ? Waachia nafasi. au rais ameamua mbwai na iwe mbwai ? Hata gombea mwakani?
Ina maana yy hakuona na kutafakari?!
 
Kama alijua basi inatakiwa atoka hadhalani na kuomba msamaha hassa kwa mabalozi na wapinzani., Vihehere,na kuota mikia ni matusi makubwa cheo caha uraisi
Bado unamdharau na kumchukulia poa. Ulichokisikia ndio ulipaswa kukisikia, ni either unakibaliana nacho au hukubaliani nacho hayo yanabaki kuwa juu yako. Hiyo kutoka hadharani kuomba msamaha ni matamanio yako ambayo hayawezi kuja kutokea.
 
Wengi hawajailelewa hotuba ya mh raisi ila ni hotuba bora kupata kutolewa!
Huko ni kuonesha jinsi nyie chawa mlivyo wapumbavu! İle haikuwa hotuba ya kutoka kwa mkuu wa nchi bali ni mipasho ya kwenye “ Kitchen Party”!
Rais lazima aoneshe EMPATHY kwa kifo cha raia wake lakini huyu Samia baada ya watu kuuliwa na polisi anawatetea kwa kusema “ Kifo ni kifo”!
Mwenzie Sheikh Hassina wa Bangladesh ameikimbia nchi na Askari aliowategemea hawakumsaidia!!
Samia inabidi asomeshwe history ya dunia sijui kama ataielewa!
 
Ulinganisho wa tukio la Trump na kuuawa kwa Ali Kibao.... Matukio hayarandani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…