Luqman Maloto (Mwanahabari): (Hotuba ya Rais Samia) haikuwa hotuba yenye hadhi ya Mkuu wa Nchi

Luqman Maloto (Mwanahabari): (Hotuba ya Rais Samia) haikuwa hotuba yenye hadhi ya Mkuu wa Nchi

Kwa nini usitekwe wewe au mimi lakini akayekwa yule? Jiulize sana na utafakari.
Kwa nini yeye atekwe???
Kama unazijua sababu tuambieni.
Swali kijinga kwa hio yeye ndio anastahili kuuwawa?
 
Africa tumemkosea nini mungu, kuwa na Rais kichwa panzi kama huyu
Kosa letu ni kuipokea ajenda ya Shetani ya 50/50,tukaiasi HESHIMA na HADHI iliyoiwekwa na MUNGU ya mwanaume kuwa KICHWA/KIONGOZI/MTAWALA/MTOA MAAMUZI kwa ngazi zote [ki familia hadi kitaifa],sisi [Taifa/wananchi]tukaihamishia kwa mwanamke,ni mfano wa tunu na hadhi ya uzaliwa wa kwanza kati Esau na mdogo wake[Yakobo]ilivyoleta athari kati yao.Ni lazima tukinywee kikombe.TULIYATAKA WENYEWE.
 
Tupige goti (tuombe,tuswali) kwa ajili ya vizazi vyetu, tunapoenda dalili zinaonyesha sio salama kabisa.
 
Back
Top Bottom