Luqman Maloto (Mwanahabari): (Hotuba ya Rais Samia) haikuwa hotuba yenye hadhi ya Mkuu wa Nchi

Una maoni juu ya haya uliyoandika!
 
Rais analalamika kuwa kuna watu wanataka kufanya uhalifu na ushahidi wa sauti upo ...

Kwahiyo Rais na wenzake wanawachongea hawa wahalifu kwetu ili tufanyeje il hali wao ndo wana dhamana za ulinzi wa taifa hili?

Ni kituko.
 
Samia hana ushahidi wa hayo anayotuhumu ama sivyo angelikwisha wakamata. Hivyo anaonekana ni mzushi tu!
 
Jiwe limemkong'ota Maloto kisogoni.
Hii ndiyo ilikuwa hotuba bora kuwahi kutolewa na SSH.
Ilinikumbusha hotuba za mwendazake...kavu kavu kama kokoto na hukuwahi kukosoa,why?
 
Jiwe limemkong'ota Maloto kisogoni.
Hii ndiyo ilikuwa hotuba bora kuwahi kutolewa na SSH.
Ilinikumbusha hotuba za mwendazake...kavu kavu kama kokoto na hukuwahi kukosoa,why?
Baadae nyienyie ndio mnakuja kumponda mawe John yaan nyienyie mnaosifia ndio nyienyie mnaoponda baada ya kweli nyie binadamu wendawazimu kwa hio leo hii baba yako akitekwa akaenda kuuliwa kikatiri kisha anaibuka somebody nanii anasema kifo ni kifo tu, utajisikiaje yaan utachekelea hivyo yaan?
 
Kwa nini usitekwe wewe au mimi lakini akayekwa yule? Jiulize sana na utafakari.
Kwa nini yeye atekwe???
Kama unazijua sababu tuambieni.
 
Hotuba iliwapendezesha hathira husika. Ila kwa kusema kifo ni kifo, kushushwa kwenye Basi na kwenda kuawa na kumwagiwa tindikali si sawa na aliumwa na kufariki hospitali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…