Kosa letu ni kuipokea ajenda ya Shetani ya 50/50,tukaiasi HESHIMA na HADHI iliyoiwekwa na MUNGU ya mwanaume kuwa KICHWA/KIONGOZI/MTAWALA/MTOA MAAMUZI kwa ngazi zote [ki familia hadi kitaifa],sisi [Taifa/wananchi]tukaihamishia kwa mwanamke,ni mfano wa tunu na hadhi ya uzaliwa wa kwanza kati Esau na mdogo wake[Yakobo]ilivyoleta athari kati yao.Ni lazima tukinywee kikombe.TULIYATAKA WENYEWE.