fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Kila Azam inapocheza na Yanga, Lusajo Mwaikenda ni lazima amuumize Pacome,
Mechi ya kwanza Lusajo alimuumiza Pacome na mechi ya leo kanuumiza tena,hivi anatumwa kumuumiza Pacome?