Azam wanajua Yanga ina quality player, Wachezaji wa Azam kabla ya mechi wana ambiana Wacheze kwa nguvu kwa kufanya vurugu ili Yanga wacheze kwa kuogopa.
Bahati mbaya kwao hawaelewi wachezaji wengi wa Yanga ni senior players, hawatishwi na Vurugu ndio maana wanafanikiwa kuwaumiza ila wanafungwa.
Kama Pacome lile goli alilofunga hakuogopa kugongana na mwamba wa goli ndio ataogopa kuchezewa faul.
Watu wamekuja kufanya kazi maana goli la Pacome kama una roho nyepesi utaogopa kuivamia post ya goal.
MakumazaniLusajo yupo humu akujibu?????
Mpaka muda huu, C.Fondo yupo nje ya uwanja. Camara, ni juzi tu ndiyo anaonyesha amepata nafuu. Wote hao waliumizwa na hao hao Azam, kwenye mchezo uliopita. Hatujawasikia jamaa wakilalamika kuwa wachezaji wao waliumizwa makusudi!Hawa jamaa wako rough na aggressive sana na wachezaji wetu.
Itabidi Yanga tuliangalie hili kwa jicho la tatu.
huwezi kokota mpira mita7 mbele ya mwanaume anayejitambua halafu mwishoe utambe lazma ule kisagoKila Azam inapocheza na Yanga, Lusajo Mwaikenda ni lazima amuumize Pacome,
Mechi ya kwanza Lusajo alimuumiza Pacome na mechi ya leo kanuumiza tena,hivi anatumwa kumuumiza Pacome?
Bahati mbayaKila Azam inapocheza na Yanga, Lusajo Mwaikenda ni lazima amuumize Pacome,
Mechi ya kwanza Lusajo alimuumiza Pacome na mechi ya leo kanuumiza tena,hivi anatumwa kumuumiza Pacome?
ndio akili yako inavyokutuma?Kama hataki kuumia akacheze rede
Mautopolo yanapenda sana kulalamikaMpaka muda huu, C.Fondo yupo nje ya uwanja. Camara, ni juzi tu ndiyo anaonyesha amepata nafuu. Wote hao waliumizwa na hao hao Azam, kwenye mchezo uliopita. Hatujawasikia jamaa wakilalamika kuwa wachezaji wao waliumizwa makusudi!
Pia, ukiangalia kwa makini mechi za Yanga na Azam, Mudathir huwa anaonyesha anampania sana kumuumiza Fei. Sijui huyo Mzanzibari mwenzie, alimkosea nini!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Swali je ni uungwana na yeye kumuumiza?Kila Azam inapocheza na Yanga, Lusajo Mwaikenda ni lazima amuumize Pacome,
Mechi ya kwanza Lusajo alimuumiza Pacome na mechi ya leo kanuumiza tena,hivi anatumwa kumuumiza Pacome?
Hivi hiyo bangi unayovuta ni ya majani? au ya mbegu? au ni ileiliyochanganywa na mavi ya fisi?Alikuumizia mumeo kumbe pole.sana
Hizi kauli.enzi hizo wadada/mama walipenda kuzitoa wakati wa mechi usiniumizie huyo sasa naziona kwako pole mkuu mumeo nadhan yuko salama
Sivuti bhangi nimeandika kweli tupuHivi hiyo bangi unayovuta ni ya majani? au ya mbegu? au ni ileiliyochanganywa na mavi ya fisi?
Walituumizia che malone nasi.Ni MPIRA tuHawa jamaa wako rough na aggressive sana na wachezaji wetu.
Itabidi Yanga tuliangalie hili kwa jicho la tatu.