Mwwmbieni Pacome aache kucheza kishamba. Mpira wa anao anaoKila Azam inapocheza na Yanga, Lusajo Mwaikenda ni lazima amuumize Pacome,
Mechi ya kwanza Lusajo alimuumiza Pacome na mechi ya leo kanuumiza tena,hivi anatumwa kumuumiza Pacome?

Si tunaoshi naye mtaani?Kila Azam inapocheza na Yanga, Lusajo Mwaikenda ni lazima amuumize Pacome,
Mechi ya kwanza Lusajo alimuumiza Pacome na mechi ya leo kanuumiza tena,hivi anatumwa kumuumiza Pacome?
Hicho ndicho Yanga watakifanya one day! Akaminko ni janga pia sio Mwaikenda tu, keshamuumiza Skudu na Max, ila na wao watakula viatu tu, kumbuka Kanoute Putin, mwisho wa zama zake ilikuwa ni kila mechi lazima aumie wachezaji waliamua kumfungia kazi ni viatu kwa kwenda mbeleKwani wachezaji wa Yanga hawana miguu wamkite huyo jamaa?
Mpuuzi sana, tumpeleke CASKila Azam inapocheza na Yanga, Lusajo Mwaikenda ni lazima amuumize Pacome,
Mechi ya kwanza Lusajo alimuumiza Pacome na mechi ya leo kanuumiza tena,hivi anatumwa kumuumiza Pacome?
Hilo ndo linalotakiwa.Haiwezekani mchezaji mmoja au wawil wanajirudia rudia kucheza rafu za hovyo kwa wenzao afu wenzao wanaangalia tu.Hicho ndicho Yanga watakifanya one day! Akaminko ni janga pia sio Mwaikenda tu, keshamuumiza Skudu na Max, ila na wao watakula viatu tu, kumbuka Kanoute Putin, mwisho wa zama zake ilikuwa ni kila mechi lazima aumie wachezaji waliamua kumfungia kazi ni viatu kwa kwenda mbele