fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Hawa jamaa wako rough na aggressive sana na wachezaji wetu.Kila azam inapocheza na yanga,lusajo mwaikenda ni lazima amuumize pacome,mechi ya kwanza lusajo alimuumiza pacome na mechi ya leo kanuumiza tena,hivi anatumwa kumuumiza pacome?
Hovyo sana.Nadhani sehemu ya game plan Yao ilikuwa kuwapa wachezaji wetu injury
Alikuumizia mumeo kumbe pole.sanaKila Azam inapocheza na Yanga, Lusajo Mwaikenda ni lazima amuumize Pacome,
Mechi ya kwanza Lusajo alimuumiza Pacome na mechi ya leo kanuumiza tena,hivi anatumwa kumuumiza Pacome?
Ni kweliHawa jamaa wako rough na aggressive sana na wachezaji wetu.
Itabidi Yanga tuliangalie hili kwa jicho la tatu.
Zuzu utamjua tuUlitaka aumizwe na FOBA?
Mjinga kila qkijamba hushangiliaAlikuumizia mumeo kumbe pole.sana
Hizi kauli.enzi hizo wadada/mama walipenda kuzitoa wakati wa mechi usiniumizie huyo sasa naziona kwako pole mkuu mumeo nadhan yuko salama
tatizo unakunywa kimpumu sanaUZI WA KIPUMBAVU KABISA
rejea hoja yangu,lusajo mechi iliyopita alimuumiza pacome na pacome akatoka na mchezo huu kamuumiza tena na akatoka,why ijitokeze mara 2?Statistics zinaonesha Yanga ndo kafanya madhambi zaidi👿 which is which??
Huyo dogo wakikutana nae tena,wamtimbe kwelikweliNadhani sehemu ya game plan Yao ilikuwa kuwapa wachezaji wetu injury