figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Labda ingekua zanzibar na bendera zingeshushwa nusu mlingotiMkitaka kujua Mkitaka kujua mtu hafai kuvaa viatu vya urais, au roho ya Samia au Samia ni mtu wa namna gani ni pale kwenye Matatizo.
Rais ndo mfariji wa kwanza katika Nchi. Anatakiwa atoe pole, na kufariji wafiwa. Pole sana Watanzania.. Mungu atatupa Rais.
Watu 17 wanakufa rais hana habari.. Nchi mifumo imeparalyse.. Watu wakifa hakuna hata anayejali, wala chanzo cha ajali uchunguzi hawafanyi.
Nasikia wengine walokufa walikuwwa na Baiskeli zimeandikwa Samia.. Zishakusanywa..
Hakuna kiongozi wa CCM anamjali raia wa kawaida hadi kipindi cha kampeni.
nadhani ukitoa pole na usaidizi wa mapema zaidi hususani wewe ulie eneo la tukio, inapendeza zaidi kuliko kumfikiria mtu ambae hajui wala hana taarifa ya ajali hiyo mbaya iliyogharimu nguvu kazi ya taifa.Mkitaka kujua Mkitaka kujua mtu hafai kuvaa viatu vya urais, au roho ya Samia au Samia ni mtu wa namna gani ni pale kwenye Matatizo.
Rais ndo mfariji wa kwanza katika Nchi. Anatakiwa atoe pole, na kufariji wafiwa. Pole sana Watanzania.. Mungu atatupa Rais.
Watu 17 wanakufa rais hana habari.. Nchi mifumo imeparalyse.. Watu wakifa hakuna hata anayejali, wala chanzo cha ajali uchunguzi hawafanyi.
Nasikia wengine walokufa walikuwwa na Baiskeli zimeandikwa Samia.. Zishakusanywa..
Hakuna kiongozi wa CCM anamjali raia wa kawaida hadi kipindi cha kampeni.
Wewe ni automatic machine inayojibia CCM, Serikali na dola kwa ujumla.nadhani ukitoa pole na usaidizi wa mapema zaidi hususani wewe ulie eneo la tukio, inapendeza zaidi kuliko kumfikiria mtu ambae hajui wala hana taarifa ya ajali hiyo mbaya iliyogharimu nguvu kazi ya taifa.
Chuki binafsi kwenye misiba ni unafiki wa kiwango kibaya sana gentleman, sio vizuri kuendekeza 🐒
sasa gentleman,Wewe ni automatic machine inayojibia CCM, Serikali na dola kwa ujumla.
Katie msaada sasa sio kubakia JF wenzako wanataka msaada na wewe ndiye mkusanya Kodi zetu.