Lushoto: Ajali imeua watu 17, Rais ndo mfariji wa kwanza katika Nchi. Anatakiwa atoe pole

Lushoto: Ajali imeua watu 17, Rais ndo mfariji wa kwanza katika Nchi. Anatakiwa atoe pole

Baada ya Mohammed Mtoi, mwana JF mwenzetu kuaga dunia; kwa kweli eneo hilo wametekwa sana. na hawa waovu.
Na usikute hata ajali ile iliyoondoa uhai wa Mohamed Mtoi ni hawa manyang'au wa CCM ndiyo waliitengeneza maana mtu akiwashinda kwa hoja wanamuua.
 
Back
Top Bottom