Lushoto: Ajali imeua watu 17, Rais ndo mfariji wa kwanza katika Nchi. Anatakiwa atoe pole

Watu mna chuki aiseeh yani hata hiyo ajali ya basi lawama kwa rais?
 
Kwa nitoe pole kwa wote. Pili nauliza hiyo ajali na baiskel za ccm inakujaje hapo mim cjaelewa. Tatu kuna mtu humu namchukia yaani nikimkuta kwenye uzi wowote natamani nifunge jf. Tlaatlaah my frend ckujui na hunijui lakin kusema ukweli nakuchukia natamani hata cku moja mtu aje hapa aseme umekufa ntafurahi sana. Naomba tu uniblock ama uniweke ignore list plz
Gentleman,
kwanza kabisa, I'm sorry. Huenda maelezo yangu ya ukweli mtupu kwenye masuala mbalimbali, hua yanakukera sana. Nakuhakikishia, sintaacha kueleza ukweli mtupu jukwaani.

Lakini pia,
mbona chuki zako binafsi na pengine za wadau wengine wa Jf dhidi yangu ni kitu useless sana kwangu na kwakweli naona ni kama changamoto yako binafsi tu?

For sure,
I have completely nothing to do with your nonsense hates against me.

JF has very simple options of hiding members whom you hate them the most. You can ignore or block a member as you wish, something which is useless tu me.

You can apply that and it will be much better 🐒
 
Mkitaka kujua Mkitaka kujua mtu hafai kuvaa viatu vya urais, au roho ya Samia au Samia ni mtu wa namna gani ni pale kwenye Matatizo.

Rais ndo mfariji wa kwanza katika Nchi. Anatakiwa atoe pole, na kufariji wafiwa(comforter-in-chief). Pole sana Watanzania.. Mungu atatupa Rais.

Watu 17 wanakufa rais hana habari.. Nchi mifumo imeparalyse.. Watu wakifa hakuna hata anayejali, wala chanzo cha ajali uchunguzi hawafanyi.

Nasikia wengine walokufa walikuwwa na Baiskeli zimeandikwa Samia.. Zishakusanywa.. Kwanza watano walikata roho papo kwa pamo wemgine kumi wakazima.

Hakuna kiongozi wa CCM anamjali raia wa kawaida hadi kipindi cha kampeni ndo masikini wanapewa chumvi, Sabuni na nguo yenye bango(Tshirt)
View attachment 3653296
View attachment 3653293
17 na elfu 17 wepi wengi?
 
Itakua jamaa ni robot, limepass test ya bot ndio linakomenti kisisiemu. Ni roboti, sio mtu halisi
 
You can apply that and it will be much better
 
Itakua jamaa ni robot, limepass test ya bot ndio linakomenti kisisiemu. Ni roboti, sio mtu halisi
yaan sijawahi chukia mtu cmjui lakini yeye kusema ukweli sijui kwa nini. Namchukia sio siri.
 
Halafu Tanga hamkutoka Mo29 maza yenu hawapi pole 😂🤣💩
 
Mkitaka kujua Mkitaka kujua mtu hafai kuvaa viatu vya urais, au roho ya Samia au Samia ni mtu wa namna gani ni pale kwenye Matatizo.

Rais ndo mfariji wa kwanza katika Nchi. Anatakiwa atoe pole, na kufariji wafiwa(comforter-in-chief). Pole sana Watanzania.. Mungu atatupa Rais.

Watu 17 wanakufa rais hana habari.. Nchi mifumo imeparalyse.. Watu wakifa hakuna hata anayejali, wala chanzo cha ajali uchunguzi hawafanyi.

Nasikia wengine walokufa walikuwwa na Baiskeli zimeandikwa Samia.. Zishakusanywa.. Kwanza watano walikata roho papo kwa pamo wemgine kumi wakazima.

Hakuna kiongozi wa CCM anamjali raia wa kawaida hadi kipindi cha kampeni ndo masikini wanapewa chumvi, Sabuni na nguo yenye bango(Tshirt)
View attachment 3653296
View attachment 3653293
Mkitaka kujua Mkitaka kujua mtu hafai kuvaa viatu vya urais, au roho ya Samia au Samia ni mtu wa namna gani ni pale kwenye Matatizo.

Rais ndo mfariji wa kwanza katika Nchi. Anatakiwa atoe pole, na kufariji wafiwa(comforter-in-chief). Pole sana Watanzania.. Mungu atatupa Rais.

Watu 17 wanakufa rais hana habari.. Nchi mifumo imeparalyse.. Watu wakifa hakuna hata anayejali, wala chanzo cha ajali uchunguzi hawafanyi.

Nasikia wengine walokufa walikuwwa na Baiskeli zimeandikwa Samia.. Zishakusanywa.. Kwanza watano walikata roho papo kwa pamo wemgine kumi wakazima.

Hakuna kiongozi wa CCM anamjali raia wa kawaida hadi kipindi cha kampeni ndo masikini wanapewa chumvi, Sabuni na nguo yenye bango(Tshirt)
View attachment 3653296
View attachment 3653293
Wewe ni mjinga mmoja kwamba rais alipaswa kuwa wa kwanza kuona msiba/ ajali na atoe pole kwamba siku Rais wako wa chadema akiwa rais atakuwa anafika kwenye msiba hapahapa ajali ikitokea

USSR
 
Gentleman,
kwanza kabisa, I'm sorry. Huenda maelezo yangu ya ukweli mtupu kwenye masuala mbalimbali, hua yanakukera sana. Nakuhakikishia, sintaacha kueleza ukweli mtupu jukwaani.

Lakini pia,
mbona chuki zako binafsi na pengine za wadau wengine wa Jf dhidi yangu ni kitu useless sana kwangu na kwakweli naona ni kama changamoto yako binafsi tu?

For sure,
I have completely nothing to do with your nonsense hates against me.

JF has very simple options of hiding members whom you hate them the most. You can ignore or block a member as you wish, something which is useless tu me.

You can apply that and it will be much better 🐒
Huyu ni kiazi humu mhurumie yeye alikuwa anamsifia mam wakati wa jpm na wakati anaingia madarakani alipoona mam amewakazaia nati ndio shida zikaanza

USSR
 
Barabara/njia huko si mchezo dereva ukileta uzembe au gari breki hakuna lazima kutatokea maafa tu

Ova
 
Huyu ni kiazi humu mhurumie yeye alikuwa anamsifia mam wakati wa jpm na wakati anaingia madarakani alipoona mam amewakazaia nati ndio shida zikaanza

USSR
shukrani sana gentleman,

in fact sina haja ya kubabaika nae na chuki zake binafsi 🐒
 
Huyu pwagu yupo humu miaka yote na hajawahi kuwa wa maana

USSR
ana chuki binafsi tu na hana point yoyote ya maana jukwaani.

huyo ni mtu useless kabisa kwakweli 🐒
 
Mkitaka kujua Mkitaka kujua mtu hafai kuvaa viatu vya urais, au roho ya Samia au Samia ni mtu wa namna gani ni pale kwenye Matatizo.

Rais ndo mfariji wa kwanza katika Nchi. Anatakiwa atoe pole, na kufariji wafiwa(comforter-in-chief). Pole sana Watanzania.. Mungu atatupa Rais.

Watu 17 wanakufa rais hana habari.. Nchi mifumo imeparalyse.. Watu wakifa hakuna hata anayejali, wala chanzo cha ajali uchunguzi hawafanyi.

Nasikia wengine walokufa walikuwwa na Baiskeli zimeandikwa Samia.. Zishakusanywa.. Kwanza watano walikata roho papo kwa pamo wemgine kumi wakazima.

Hakuna kiongozi wa CCM anamjali raia wa kawaida hadi kipindi cha kampeni ndo masikini wanapewa chumvi, Sabuni na nguo yenye bango(Tshirt)
View attachment 3653296
View attachment 3653293
Poleni Jamani
 
Watu 17 wanakufa rais hana habari.. Nchi mifumo imeparalyse.. Watu wakifa hakuna hata anayejali, wala chanzo cha ajali uchunguzi hawafanyi.
Ni masikitiko makubwa kwa taifa letu.

Lakini inanibidi mimi nikushangae wewe kwa kulilia mtu HARAM kuhusika kwa namna yoyote na kufatiji taifa.

Samia hana hadhi hiyo, na vizuri zaidi asiwepo kabisa kwenye maswala kama haya..

Unamlilia mtu ambaye kishakuonyesha kila ushahidi kwamba yeye hana lolote linalomgusa kuhusu taifa hili isipokuwa kushika wadhifa asiokuwa na uwezo nao!

Sasa wewe tueleze huyo rais ulimchagua lini kushika wadhifa huo.
 
Rais ndo mfariji wa kwanza katika Nchi. Anatakiwa atoe pole, na kufariji wafiwa(comforter-in-chief). Pole sana Watanzania.. Mungu atatupa Rais.

Watu 17 wanakufa rais hana habari.. Nchi mifumo imeparalyse.. Watu wakifa hakuna hata anayejali, wala chanzo cha ajali uchunguzi hawafanyi.

Nasikia wengine walokufa walikuwwa na Baiskeli zimeandikwa Samia.. Zishakusanywa.. Kwanza watano walikata roho papo kwa pamo wemgine kumi wakazima.
Hii taarifa ya kusikitisha hukuitendea haki hata kidogo jinsi ulivyoiwasilsha hapa.

Natambua vizuri kwamba wewe ni mzoefu wa mambo ya habari; sasa sijui hapa tena imekuwaje.

Samia kakuingia akilini kiasi kwamba umesahau habari sahihi ni ya huu msiba wa taifa letu.
 
Kwa nitoe pole kwa wote. Pili nauliza hiyo ajali na baiskel za ccm inakujaje hapo mim cjaelewa. Tatu kuna mtu humu namchukia yaani nikimkuta kwenye uzi wowote natamani nifunge jf. Tlaatlaah my frend ckujui na hunijui lakin kusema ukweli nakuchukia natamani hata cku moja mtu aje hapa aseme umekufa ntafurahi sana. Naomba tu uniblock ama uniweke ignore list plz
Usijihangaishe na "mzoga". Huyo Tlaatlaah yupo JF, ndiyo kazi yake, kutwa na usiku.

Huyu na Lucas (mgonjwa wa akili) ni watu ambao wamehusika na maovu mengi yaliyotokea tangu Samia aingie madarakani.
Kabloa ya Samia, uliwahi kuwasikia hawa popote humu JF?
Wameingia humu kwa kazi hiyo tu ya kuchafua jukwaa.
Samia hana doa hata dogo, ukiwauliza wao.
 
Huko Lushoto/Tanga hawakuandamana walikua busy kumsifia samuya na kuogeshana maji ya viungo..Acha wafu wazikane ili waliobaki wapate akili
Hapana.

Hatuwezi kuwa namna hii.

Haya ndiyo anayoyataka Samia na Genge lake lote.

We can do better than this!
 
Back
Top Bottom