Uchaguzi 2020 Lushoto, Tanga: Wananchi wamkataa na kumfukuza mgombea wa CCM, Shabani Shekilindi (Boznia)

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.

======

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shabani Shekilindi "Boznia", juzi alilazimika kukatisha mkutano wake wa kampeni katika Kijiji cha Makanya, Kata ya Makanya tarafa ya Mlola baada ya wananchi Kukataa asifanye mkutano.

Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na Katibu Wa CCM wilaya ya Lushoto, Ramadhani Mahanyu, zinasema tukio hilo limetokea Jumanne wiki hii katika kijiji cha Makanya wilayani humo.

"Nikweli hilo tukio, limetokea na tumekaa kujadili tumeona ni wahuni waliopangwa na baadhi ya wapinzani wetu, lakini hali ilikuwa nzuri baadaye tulifanya mkutano na wananchi wanetuelewa, " alisema.

Boznia ni Mbunge ambaye alichaguliwa mwaka 2015 na kwenye kinyang'anyiro cha kura za maoni aliwashinda watu mbalimbali akiwemo mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga Henry Shekifu na Profesa Vincent Kihiyo.

Jiwe alisema yeye ni kichaa.

Wakati mwingine huwa nashindwa kumlaumu mtu anayesema yeye ni kichaa.

Ila CCM kutuletea mtu kama Pombe mmetuumiza sana watanzania.

Jiwe out 2020
Tumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
 
Dunia nzima? No offence rais ni mtendaji mzuri sana sana. Lakin tatizo ni kuwa huko duniani anaonekana qa kawaida .. why?

Sababu wako ambao wamefanya makubwa mpaka kupelekea kupewa tuzo adimu.
Just because huku kwetu tunamuona yuko vizuri.. haimaanishi huko nje wanamuona hivyo hivyo.
 
Daah siasa aiseh zinataka moyo
Ebu tuambiane nyie mnataka Rais ambaye alikuwa anaiabudu Lock down, aliyekuwa anawaabudu wanaotukejeli bila kuwa na lockdown, aliyekuwa ametumwa kuiponda nchi yetu kuwa hawachukui hatua za Covid-19, mnataka anayefanya maigizo kuwa watu wavae barakoa wakati mwenyewe wakati yeye mwenyewe hajavaa, anayetaka lockdown wakati yeye Mwenyewe hayupo lockdown, anayeabudu misaada ya lockdown wakati akiona wenzetu Wakenya wanavyopata taaabu saaaaana. Hivi hata Mikutano mnayoifanya hamwelewi yote ni jitihada za JPM.
 
Corona ni Yesu Kristo ametunusuru
Tulimwomba akafanya
Acha wanasiasa Watambe huu ni muda wao
 
Ebu tuambiane nyie mnataka Rais ambaye alikuwa anaiabudu Lock down, aliyekuwa anawaabudu wanaotukejeli bila kuwa na lockdown, aliyekuwa ametumwa kuiponda nchi yetu kuwa hawachukui hatua za Covid-19, mnataka anayefanya maigizo kuwa watu wavae barakoa wakati mwenyewe wakati yeye mwenyewe hajavaa, anayetaka lockdown wakati yeye Mwenyewe hayupo lockdown, anayeabudu misaada ya lockdown wakati akiona wenzetu Wakenya wanavyopata taaabu saaaaana. Hivi hata Mikutano mnayoifanya hamwelewi yote ni jitihada za JPM.
Wewe kiazi umeona kua matatizo ya watanzania ni lockdown tu na barakoa?
 
Na tungekua lock down tungekufa sana .watu hawana budi kushukuru hiki suala la Tanzania kutowekwa Lockdown.

pigen makelelw hata hawo sijui mashangazi wanajiita hivo ila ni wanasiasa hawana cha barakoa.wala zile mada zao za W.H.O wamehamia kwenye nini sasa hiv god knows
 
Ebu tuambiane nyie mnataka Rais ambaye alikuwa anaiabudu Lock down, aliyekuwa anawaabudu wanaotukejeli bila kuwa na lockdown, aliyekuwa ametumwa kuiponda nchi yetu kuwa hawachukui hatua za Covid-19, mnataka anayefanya maigizo kuwa watu wavae barakoa wakati mwenyewe wakati yeye mwenyewe hajavaa, anayetaka lockdown wakati yeye Mwenyewe hayupo lockdown, anayeabudu misaada ya lockdown wakati akiona wenzetu Wakenya wanavyopata taaabu saaaaana. Hivi hata Mikutano mnayoifanya hamwelewi yote ni jitihada za JPM.
Lockdown ilianza 2015??? Aharibu miaka yote halafu eti tumuone wa maana ikiwa imebaki siku chache kwenda uchaguzi mkuu?
 
Back
Top Bottom