Uchaguzi 2020 Lushoto, Tanga: Wananchi wamkataa na kumfukuza mgombea wa CCM, Shabani Shekilindi (Boznia)

Bila kufafanua vema kubainisha ni Mbunge wa Jimbo lipi na wapi, huu NAO ni ujinga mwingine wa mleta mada, tutajuaje, je ikiwa ni ndio zile video za 2015 tutajuaje Sisi?
 
Hebu ba jameni tujiulize maswali kuhusu suala la JPM na kitu kinaitwa corona.
1). Wakati tunachagua Rais wa 2015 huyu corona alikuwepo?
2). Kama alikuwepo, tulichagua Rais wa kupambana na Corona?
3). Kama kweli maono ya JPM ndiyo yaliyofukuza corona, mbona tunahangaika na kujenga mahospitali na mazahanati kwa gharama kubwa, si maono hayo yatuondolee ukimwi, kifua kikuu, kisukari na shinikizo la damu?
4). Kama uwezo wa JPM uko katika kitengo cha tiba, kwanini tusimuachie wizara ya afya tukapata rais wa kushughulika na uhuru, haki na maendeleo ya watu?
 
Watanzania toka mjue kuna kitu kinaitwa lockdown hatusemi, Magufuli amekuwa rais wa Covid 19.
 
Sijui Nani alituloga Tanzania.....ivi ugonjwa kuepo nakuondoka nako credit anapewa kiongozi....Aya ndio madhara yakuacha watu wachache wafikiri juu yetu afu sisi tunashanglie tu.....wewe na nchi zakiarabu Nani anaiman Sana,au wewe napale Roma,Vatican, Israel Nani anaiman zaidi......ukiwa naakli kubwa utagundua kiongozi wetu aljua kulngana nahali yamaisha yetu hatuwez toboa naukzngatia tayar alkuwa ana marafiki ivyo asingeweza mudu garama zamaisha.alichokfanya nikujdai kbur nakufcha taarifa ila ukweli nkwamba watu wamekufa wengi tu....;Mshukuru Mungu sio kumshukuru binadamu mwenzio iyo nikufuru.we ukimsfu binadamu nakule capevede wamsifu nani.mstumie magonjwa yaduniani Kama ngao yakujilindeni mchaguliwe watu hawataki story zacorona maisha yet wenyewe corona tosha.tunataka Haki na maendeleo yakweli
 
Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.

View attachment 1586446
Mambo ya kiboya kwani hapo nikwenye sanduku la kura!! Kama unahasira zionyeshe kwenye sanduku la kura sio penginepo
 
Tumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
TL na Kuzimu vinauhusianishwa na watu wenye nia ya kuwanyima wenzao haki ya Mungu ya kuishi kwa kutoa uhai wa wenzao. Kwa maneno yako umo. Hutapata furaha duniani na huna ahadi ya kiimani inayokuhusu
 
Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.

View attachment 1586446
Ya wapi hii na ni lini?! Maana taarifa ya wiki hii mwanzoni ya Amsterdam ni kuendeleza kampeni kwenye social media ili ku- discredit the authorities...anasema lazima juhudi zaidi ziongezwe mitandaoni kuichafua serikali na mamlaka nzima...lengo lake ni kuendelea hivi hivi na baadaye watu waingie mitaani watu wafe uchaguzi uvurugike na jumuiya ya kimataifa iingilie Kati na kuitisha mazungumzo Kati ya Lissu na CCM..stupid ...very stupid indeed...
 
We Boya mzima kichwani kweli?
 
Na hii ni ya lini mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…