Uchaguzi 2020 Lushoto, Tanga: Wananchi wamkataa na kumfukuza mgombea wa CCM, Shabani Shekilindi (Boznia)

Tumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
Kuendesha Utekaji, utesaji, mauaji, kubambikizia kesi raia wema wasio na hatia ndo kumtumaini Mungu?!
Ni mungu gani huyo?!
 
Wamefanya jambo jema sana,wana sehemu yao ya kujiachia Mbinguni.
 
Nchi zingine hakuna mikutano?
 
Naona Elimu ya uraia anayoitoa Lissu imeanza kuleta matunda.
 
Hawa wakoloni hawawezi kukuelewa mkuu
 
Big up kwa somo zuri kwa mataga... Agiza chochote nakuja lipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…