Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu dikteta analazimishaWatu walioelimika hawafanyi hivyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dikteta analazimishaWatu walioelimika hawafanyi hivyo!
Kwamba kipo kurasa za mwisho kinaelezea kampuni iliyokichapisha hahahahah.The book of ccm is in the last page
~THE END~
Basi nakupa credit za kuwa na akili sawa na jiweLeta ushahidi
Kuendesha Utekaji, utesaji, mauaji, kubambikizia kesi raia wema wasio na hatia ndo kumtumaini Mungu?!Tumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
Nchi zingine hakuna mikutano?Ebu tuambiane nyie mnataka Rais ambaye alikuwa anaiabudu Lock down, aliyekuwa anawaabudu wanaotukejeli bila kuwa na lockdown, aliyekuwa ametumwa kuiponda nchi yetu kuwa hawachukui hatua za Covid-19, mnataka anayefanya maigizo kuwa watu wavae barakoa wakati mwenyewe wakati yeye mwenyewe hajavaa, anayetaka lockdown wakati yeye Mwenyewe hayupo lockdown, anayeabudu misaada ya lockdown wakati akiona wenzetu Wakenya wanavyopata taaabu saaaaana. Hivi hata Mikutano mnayoifanya hamwelewi yote ni jitihada za JPM.
Hawa wakoloni hawawezi kukuelewa mkuuInterlectual capacity, vast knowledge tactically and tentatively , Tanzanian come to concrete, definite and profound conclusion that, We are like Children who are being brought up under tough environment by hard working Dad for our future benefit.
Waheshimwa Wabunge, Mawaziri, Waziri Mkuu na Mh. Rais wanafanya kazi kwa juhudi kubwa kwa manufaa ya Inchi ambayo itaendelea kuepo na wanayoyafanya yatadumu kwa karine nyingi zizajo kwa manufaa ya vizazi vijavyo na pengine kwa mateso ya kizazi cha sasa.
Kinachotutesa wanainchi sasa ni kwa nini kizazi hiki kiteseke kwa kiasi kikubwa kwa maisha mazuri ya kizazi kijacho.
Wanainchi na hasa vijana wanahisi kuwa wanaowaletea matatizo ya kuwa na maisha magumu ni viongozi wao wa Juu. Hili limeanza kuwaletea chuki kwa Wabunge wao.
Viongozi wao wanatumia muda mwingi kuongea mafanikio ya miradi mikubwa ya kitaifa bila kuonyesha mchakato wa kuondoa mateso yao ya kila siku ya kukosa chakula kizuri na cha uhakika, mavazi na mahala pa kulala baada ya kusomeshwa kwa gharama kubwa za wazazi wao na Taifa.
Vijana wanataka maendeleo yawe balanced kati ya vitu na watu.
VItu vinavyoleta mavufaa kwa Vijana ndani ya muda mfupi na directly ndivyo vyenye tija kwao.
Kwa mfano Serikali ikishiriki katika ujenzi wa viwanda vikubwa ambavyo vitaleta ajira kubwa ndani ya muda mfupi ndiyo kitu chenye tija kwao. Miradi ambayo inaongeza kipato cha Taifa kwa ujumla,kumwelezea mtu mwenye njaa ni sawa na kimpigia mbuzi gitaa.
Sisi Wakristo, Yesu Kristo wakati anaelekea kuteswa, aliwaandalia wanafunzi wake karamu ya mwisho na kuwaambia " Twaeni mle wote huu ndiyo mwili wangu utakaotolewa kwa ajili yenu kwa ajili ya maondoleo ya dhambi, ufufuko wa mwili na uzima wa milele ijayo, fanyeni hivi kwa kunikumbuka mimi"
Tumeendelea kumkumbuka Yesu Kristo kwa sababu ya chakula na kinywaji, Yesu kristo hakuwa na nyumba ya kuishi wala kibanda cha chips lakini anaheshimika kwa sababu ya upendo wake kwa watu na kutuachia Amani.
Viongozi wa sasa walisheni na kuwanywesha Watanzania ili wawakumbuke.
Big up kwa somo zuri kwa mataga... Agiza chochote nakuja lipaNdugu zangu, hakika chama chetu kikongwe kimejaa propaganda za maji taka, makada walijitokeza na propaganda kuwa Lissu hawezi kurudi Tanzania,Lissu aliwathibitishia watanzania kuwa angerudi tu, wakabadili gia kuwa akirudi atakamatwa airport, Jamaa akarudi tena kwa kishindo wakashindwa kumkamata airport.
Wakasema Chadema haiwezi kumpa nafasi ya kugombea Urais maana Mbowe na Lema hawamtaki wanamtaka Lazaro, Chadema ikampa kugombea tena kwa kura nyingi sana. Wakasema tume lazima itamwengua maana ana kesi kwahiyo hatatoboa, akateuliwa kugombea.
Wakasema hana pesa za kufanya kampeni hawezi kuzunguka nchi nzima, leo yupo anazunguka kila kona tena kwa speed ya 5GB. Wakasema hata pata watu kwenye mikutano yake, sasa ni mafuriko.
Mgombea wao akawaambia wafuasi wake kwamba picha za mikutano ya Lissu ni za ku edit, wamegundua kuwa mgombea wao hakuwa sahihi wamekuja na propaganda mpya kuwa watu wanaojaa kwenye mikutano ya Lissu siyo wapiga kura kwa kuwa hawajajiandikisha ila wanafunzi na wale wanaojaa kwenye fiesta ndio wapiga kura. Hakika wajumbe wamezidi kuyeyuka na propaganda za maji taka. Mwaka huu kazi mnayo wajumbe,a.k.a makada a.k.a uvccm walioagizwa kujibu hoja.
Kwani alishinda nani kabla ya Lubuva kufanya yake 2015?Sasa Kama hali ya 2015 imejirudia, mbona hamkushinda hy 2015.?