Lusinde amjia juu Polepole, amsifia Bashiru, ni kuhusu wanaotaka Urais wa Samia

Lusinde amjia juu Polepole, amsifia Bashiru, ni kuhusu wanaotaka Urais wa Samia

Kwamba wanautaka urais wa Samia!!?
 
Bwawa la nyerere haliwez kukamilika Leo Wala kesho labda 2025 huko.
Nilijaribu kumuuliza mtu ambaye Ni rafik yangu yupo huko Kama engineer aliniambia kila kitu na Mambo mengi Sana .
Ukweli wanasiasa Ni watu waongo balaa sijui why wanadanganya kwenye vitu sensitive Kama hivi.
Unawezaje kuongea uongo wa mchana kweupe wakat unajua fika hili jambo haliwezekan kwa wakati fulani?

Pia rafik angu alinidokeza kuwa Kuna mitambo inatakiwa ipelekwe huko site lakin hiyo mitambo haiwez kufika salama lazima ijengwe barabara ya lami kutoka mkata km sikosei Hadi huko Rufiji na hiyo barabara Bado haijajengwa.

Pia nikamuuliza vipi speed ipoje ,akanihakikishia kuwa katika mradi unapelekwa kwa speed kali basi Ni huo mradi ,Ila changamoto tu Ni uongo wa wana siasa kuwahadaa wananchi wao.

Hivyo mradi unaendelea kwa speed kali lakin itachukua muda mrefu kukamilika maana mradi Ni mkubwa balaa ,miaka minne au mitano mbele ndipo mradi utakamilika ,so acheni kusikiliza hao Wana siasa uchwara .
Umenifurahisha hujaonyesha u-team wa kijingajinga; umesema wanachofanya na umesema wasichofanya sawa (kudanganya)..... ubarikiwe kwa hilo. Kuna watu humu hawalali kwa ajili ya kudanganya kuwa mradi huo umetupiliwa mbali, kwamba hakuna chochote kinachoendelea huko.

Ukiacha waongo hao waitwao wanasiasa, kuna kundi jingine la waongo linaibuka kwa kasi humu mitandaonni linalochochewa na ujinga unaoitwa team. Tena uongo wa hawa ni wa ki.p.umbavu kweli maana utalikuta lijitu, tena linajiita great thinker, halafu linakomaa kudanganya huku sura ikiwa inamshuka kwa aibu!
 
Ukiwa muuaji saa zote unafikiri na wewe wanataka kukuua, fanyeni kazi acheni kujihami!
 
Ukifika mtera jimboni kwa kibajaji unaweza kutoa machozi sijui huu muda wa kubwabwaja anautoa wapi wakati jimboni kwake hakuna alichokifanya
 
Back
Top Bottom