Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Tukiwafunga waganda mwakani haya maneno ya Lusinde yatapoteza maana. Hili ndilo tatizo la Tanzania, kila mtu anajua kila kitu.
Madhara yake mambo yanaharibiwa tena kijinga tu. Vita haijaisha, halafu akumbuke kuwa ile kadi ya pili aliyopewa Samatta haoa Dar imetibua uchezaji mzima wa timu.