Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Huo ndio ujinga wa halaiki ambao ni ugonjwa mwingine ambao mtanzania wa kawaida anauugua. Kujua kila kinachoongelewa hata kama ni masuala ya kitaalam.Lusinde ana utalaam gani ktk soka?..huko jimboni kwake kuna timu gani ya soka aliyoiongoza ikawa hata bingwa wa mkoa?
Wakati tunamfunga cape verde hapa taifa mbona hawakusema kocha afukuzwe
...una uhakika ? Maana Alliance pekee ni sports academy, na mpaka imepanda Premierhatuna soccer academy hata moja halafu unategemea miujiza kwenye soka
hivi tuna mpira gani hadi tuwafunge lesotho kwao!!!
acheni bange
Kwani Mwalimu analetwa tufungwee !?Hapa ndio utazijua Akili za Wabongo!
Wakishinda mwalimu anafaa wakifungwa Mara moja tu mwalimu aondoke!
Yale Yale enzi za Maximo
Huyu kweli kibajaji jina hili linasadifu akili yake ilivyoMbunge wa Mtera(CCM),Livingstone Lusinde ameitaka TFF kuandaa barua ya kumfuta kazi kocha was Taifa Stars,Emmanuel Amunike ili akishuka tu uwanja wa ndege akabidhiwe.
Lusinde ametoa kauli hiyo kufuatia Taifa Stars kulala bao 1-0 dhidi ya Lesotho mjini Maseru na kujiweka kwenye mazingira magumu ya kufuzu Afcon 2019 kule nchini Cameroo.
"Hii serikali ina mawaziri wanaotumbuliwa wakikosea kidogo tu,sasa huyu kocha anazoa wachezaji na kuwapanga anavyotaka yeye halafu tumwache.Namwomba Waziri Mwakyembe awaandikie TFF akiwa huko ili wavunje mkataba haraka" amedai Lusinde.
Lusinde alidai pia sifa ya Amunike ni nidhamu ambayo wachezaji wanaweza wakafundishwa jeshini lakini sio suala LA soka kwani limeshamshinda.
Lusinde pia amedai Amunike amekuwa na upendeleo katika upangaji wa kikosi na badala yake anapanga watu kwa kuangalia matakwa ya wapenzi na sio kitàalamu.
Walipo shinda na cape Verde last game mbn hakutoa ushauri huo?au hakuangalia Mpira?Mbunge wa Mtera(CCM),Livingstone Lusinde ameitaka TFF kuandaa barua ya kumfuta kazi kocha was Taifa Stars,Emmanuel Amunike ili akishuka tu uwanja wa ndege akabidhiwe.
Lusinde ametoa kauli hiyo kufuatia Taifa Stars kulala bao 1-0 dhidi ya Lesotho mjini Maseru na kujiweka kwenye mazingira magumu ya kufuzu Afcon 2019 kule nchini Cameroo.
"Hii serikali ina mawaziri wanaotumbuliwa wakikosea kidogo tu,sasa huyu kocha anazoa wachezaji na kuwapanga anavyotaka yeye halafu tumwache.Namwomba Waziri Mwakyembe awaandikie TFF akiwa huko ili wavunje mkataba haraka" amedai Lusinde.
Lusinde alidai pia sifa ya Amunike ni nidhamu ambayo wachezaji wanaweza wakafundishwa jeshini lakini sio suala LA soka kwani limeshamshinda.
Lusinde pia amedai Amunike amekuwa na upendeleo katika upangaji wa kikosi na badala yake anapanga watu kwa kuangalia matakwa ya wapenzi na sio kitàalamu.
1. Hiki ni kichekesho, Lusinde badala ya kupambana na TFF inayosababisha soka letu kushuka kwa kujikita katika mambo ya kijinga na kuacha Mambo muhimu yeye anamsakama Amunike. Mfano hai kwa ujinga wa TFF ni hiki kituko cha kupambana ili Manji asiwepo Yanga bila kujali tunahitaji kuwekeza nguvu kwenye Timu ya Taifa.Mbunge wa Mtera(CCM),Livingstone Lusinde ameitaka TFF kuandaa barua ya kumfuta kazi kocha was Taifa Stars,Emmanuel Amunike ili akishuka tu uwanja wa ndege akabidhiwe.
Lusinde ametoa kauli hiyo kufuatia Taifa Stars kulala bao 1-0 dhidi ya Lesotho mjini Maseru na kujiweka kwenye mazingira magumu ya kufuzu Afcon 2019 kule nchini Cameroo.
"Hii serikali ina mawaziri wanaotumbuliwa wakikosea kidogo tu,sasa huyu kocha anazoa wachezaji na kuwapanga anavyotaka yeye halafu tumwache.Namwomba Waziri Mwakyembe awaandikie TFF akiwa huko ili wavunje mkataba haraka" amedai Lusinde.
Lusinde alidai pia sifa ya Amunike ni nidhamu ambayo wachezaji wanaweza wakafundishwa jeshini lakini sio suala LA soka kwani limeshamshinda.
Lusinde pia amedai Amunike amekuwa na upendeleo katika upangaji wa kikosi na badala yake anapanga watu kwa kuangalia matakwa ya wapenzi na sio kitàalamu.
Mwenye msimamo kundi letu tafadhali atuwekee
Viongozi wenyewe na akina Dr. Mwakyembe,unategemea nini?Hata ukiwauliza viongozi wa nchi hii kama tatizo ni nini hatufanikiwi kisoka naamini hawana hata majibu
point yangu ni simple,timu ya taifa inaandaliwa tokea chini/tokea wadogo...una uhakika ? Maana Alliance pekee ni sports academy, na mpaka imepanda Premier
Kuna mdau humu alisema, unafuga mbwa kwa kutegemea kinyesi cha mlevihatuna soccer academy hata moja halafu unategemea miujiza kwenye soka