Wanadhani ushindi wa mpira ni kama uhesabuji wa kura wa NEC unaotangaza kuwa wapiga kura wapo 100 zilizoharibika 10, Chadema 40, CUF 20, na CCM 70.Tunataka faida ya haraka kwa uwekezaji wa kuhonga leo kesho kimyaaaaa
Mwenye msimamo kundi letu tafadhali atuwekee
Katoa pumba tu akili za kuwaza jeshi litatatua kila tatizo. Eti nidhamu watafundishwa jeshini mbona kina jkt sijui prison au pilisi timu zao hata hazifurukutu. Hizi ndio akili za kuamini jeshi litakuza uchumi peke yake.Kwa mara ya kwanza Lusinde katoa point!! Hongera Mh. Mbunge kuwa mkweli walau kwenye hili.
Acha uongoKikosi cha Jana do kilimfunga capevede,hamkusema picha hafai, ila kufungwa jana tu bas hafai,capevede wao niviwete?
hata Maximo ililaumiwa hivyohivyo tu mpaka akina Marehemu Mziray walimlaumu kwa kubadilisha sana wachezaji, kwani hilo ni tatizo kubwa?!? katika kubadili huko ndio atapata kikosi anachokitaka. lakini ndiyo AMUNIKE ana makosa yake na wachezaji je?!? wao ndio walikuwa uwanjani watz kabisakabisa kama waliona mbinu za Amunike hazifai si wangetumia mbinu zao binafsi?!? tukashinda, Tizama wale mabeki walikuwa wao wawili tu wakatoa ikawa kona ikazaa goli, hivi Manura kwa nini hakuupiga ule mpira ngumi ukaenda mbali sana?!?, inawezekana hata Gardiolla akijitolea aje kutufundisha bure miaka mi5 atabadilisha sana wachezaji maana inawezekana wasiojulikana ndio wanafaa!Ila kweli amunike aeleweki mpaka sasa hana kikosi cha kwanza kila siku timu mpya anachukua wachezaji kutoka timu za chini kabisa kwa msimamo wa ligi
Aende tu anaboa
Kwa hii mechi laini ya Lethoto sina haja ya kuangalia huko nyuma kulitokea nini. Unapanga walinzi 7 (including kipa) halafu unategemea kushinda? Hata Morinho na mabasi yake hajawahi kupanga mabeki 6 mechi moja.Hata ukiwauliza viongozi wa nchi hii kama tatizo ni nini hatufanikiwi kisoka naamini hawana hata majibu