Luteni Colonel Daniel Davis wa Jeshi la Marekani anasema hakuna njia yoyote ya kijeshi itayoifanya Ukraine iishinde Urusi vitani

Luteni Colonel Daniel Davis wa Jeshi la Marekani anasema hakuna njia yoyote ya kijeshi itayoifanya Ukraine iishinde Urusi vitani

Kwa muda ambao Urusi imechukua kupambana na Ukraine tayari Ukraine inaonekana kama imeshinda vita.
Yaani mna argument za kindezi sana. Mnatafuta kila neno kufariji mioyo yenu. RUHUSU AKILI NA MOYO WAKO VIUKUBALI UKWELI HATA KAMA HÀUPENDI. KATAA UBONGO WAKO KUULISHA MOYO WAKO UONGO.
 
We Mtoto wa Shule umeshakula kande la saa kumi na mbili jioni la bure shuleni (boarding school), badala ya kwenda kukojoa na kujisomea notes ulizofundishwa leo darasani, unakuja kuchangia maswala ya vita vya Ukraine ambayo sio size yako...Urusi inapigana na majeshi ya NATO+Ukraine, uwanja wa mapambano ukiwa Ukraine
Huyo akachangie hoja za ..kati ya hadija kopa na sa100 nani ana uno ndebwendebwee ..huku atumtaki ...pia mjulishe kuwa sa100 kanunua begi zima la chupii za hariri huko arabuni
 
Kwa muda ambao Urusi imechukua kupambana na Ukraine tayari Ukraine inaonekana kama imeshinda vita.
Kuna kitu pro Nato mnashindwa kukiona either bahati mbaya au makusudi, Russia alikua na uwezo wa kumaliza vita mapema sana ila jiulize kwa nini aliamua kuipeleka operation yake taratibu?

Angalia kwa jicho la kiuchumi anza na thamani ya pesa yake before na after vita na sasa inavyoendelea, angalia report zinasemaje kuhusu Russia kiuchumi kwenye nusu hii ya kwanza ya mwaka huu then utapata jibu kwamba hii operation inaenda strategically kila malengo ya Russia waliyopanga yanafikiwa either malengo ya kivita au kiuchumi

20220614_215028.jpg
20220614_215449.jpg
20220614_215658.jpg
 
Halaf mzeee aelewe RUSSO haipo VITANI inafanya tu ka OP safisha MANAZI
 
Huyo akachangie hoja za ..kati ya hadija kopa na sa100 nani ana uno ndebwendebwee ..huku atumtaki ...pia mjulishe kuwa sa100 kanunua begi zima la chupii za hariri huko arabuni
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Acha ujinga, Russia alikuwa anapambana na NATO. Mmepeleka kila aina ya silaha kwa majigambo mengi eti kutakuwa na uwiano sawa ktk battle field. Mkubali sasa Russia yupo juu sana kwenye tekinolojia kwa kitendo cha kufanya silaha zote za NATO kuwa useless.

Sasa nimeamini hakuna taifa lolote hapa duniani linaloweza kusimama ktk battle field na Russia man to man. Intelejensia ya USA ililifahamu hilo hilo kitambo ndio maana ikajiundio jumuhiya kwa ajili ya kumkabilo Russia tu

Afghanistan walipewa silaha na mafunzo ya miaka, lakini nchi nzima ilianguka wiki moja tu baada ya Marekani kuondoka. Taliban hawakutishika na silaha za Marekani.

Ukraine ilikuwa ichukuliwe yote na Russia kwa siku zisizozidi 12. Putin alitoa amri kwa wanajeshi wa Ukraine kujisalimisha na kukabidhi silaha zao kwa jeshi la Russia kisha kurudi makwao.

Hadi leo hitimisho la “special operation” halijafikiwa na mwisho bado haueleweki.

Watu ndio wanaopigana vita; sio silaha. Wape heshima yao wapiganaji wa Ukraine.

Mwanzoni NATO walijua Ukraine imekwisha; wakampa Zelenskyy ofa ya usafiri kuondoka na familia yake. Yeye akakataa na kuomba silaha. NATO wakasita. Lakini baada ya kushuhudia ujasiri wa wapiganaji wa Ukraine dhidi ya wavamizi wa Urusi, NATO wakaanza kusafirisha silaha kwa wingi kwenda Ukraine.
 
S
Ngoja wapigane hadi mbabe apatikane. Maana kama walishindwa maliza mzozo kwa makubaliano, wamalize kwa vita
Siyo walishindwa kumaliza mzozo kwa makubaliano bali Ukraine hakutaka kumaliza mzozo kwa makubaliano ambayo tayari yalikuwa yameshafanyika chini ya mkataba wa Minsky. Ukraine iliyatumia makubaliano hayo kupata muda wa kujiimarisha kijeshi kwa kupokea silaha nzito na mafunzo toka nchi za magharibi. Na nchi za magharibi zilipoamini kuwa maandalizi ya ukraine yametosha zikaitia kiburi ukraine kwa kuidanganya kuwa itapewa uanachama wa NATO fasta na hivyo isiogope kuifanyia kiburi Urusi. Kwa hiyo Ukraine ikagomea sharti muhimu la urusi la kutamka rasmi kuwa HAITAJIUNGA NA NATO. Ilipokataa kutamka hivyo, nchi za magharibi zilijua ni lazima urusi itaivamia ukraine maana IMEVUKA MSTARI MWEKUNDU WA URUSI. Matokeo yake ukraine imechakazwa sana! Bila aibu mabeberu wameshaanza kugombea tenda za KUIJENGA UPYA UKRAINE!! Yaani hii vita imeua raia na askari wengi sana wa Ukraine lakini ni "FAIDA" kwa nchi za magharibi kupata soko la silaha zao na tenda kwa makampuni yao ya ujenzi!!
 
Tatizo la huyo mzee analinganisha vita waliyo pigana mwaka 45 nasasa na wakati huo zamani vita walikuwa napigana kama ng'ombe . na hiyo ndio imemfanya mrusi apigwe kizembe sana kukusanya magari na vifaru km 64 na wanajeshi 150000 halafu wote walipanga mstari.
Umeingizwa mkenge na propaganda za magharibi! Ukweli ni kwamba ndani ya siku mbili za vita, ukraine ilipoteza uwezo wa kujihami, na ndio maana urusi waliingiza msafara wa kijeshi nchini ukraine. Kama ni kweli ukraine walikuwa na uwezo wa kushambulia basi msafara huo ungetekwa! Kitu pekee kilichowasaidia ukraine ni kuwa walilivuja wenyewe daraja kubwa kwenye barabara ya kuingilia mji mkuu wa ukraine-Kiev. Na hivyo msafara wa urusi ukaishia kwenye viunga vya mji wa Kiev kwa wiki kadhaa na vikaharibiwa sana.
Ujue katika vita usitegemee upande mmoja hata kama una nguvu sana kuwa hautapata madhara. Ni kweli urusi pia imepata madhara!! Lakini si kama Ukraine. Ujue Urusi iliamua kuachana na kuendelea kutaka kuingia kiev baada ya kuona kuwa nchi za magharibi zimeipa tena silaha nyingi ukraine, na hivyo kuamua kuelekeaza nguvu zake kwenye lengo la msingi la kukomboa jimbo la DONBASS. Waliamua kuondoka kwa hiari si kwamba walishindwa!!
 
Afghanistan walipewa silaha na mafunzo ya miaka, lakini nchi nzima ilianguka wiki moja tu baada ya Marekani kuondoka. Taliban hawakutishika na silaha za Marekani.

Ukraine ilikuwa ichukuliwe yote na Russia kwa siku zisizozidi 12. Putin alitoa amri kwa wanajeshi wa Ukraine kujisalimisha na kukabidhi silaha zao kwa jeshi la Russia kisha kurudi makwao.

Hadi leo hitimisho la “special operation” halijafikiwa na mwisho bado haueleweki.

Watu ndio wanaopigana vita; sio silaha. Wape heshima yao wapiganaji wa Ukraine.

Mwanzoni NATO walijua Ukraine imekwisha; wakampa Zelenskyy ofa ya usafiri kuondoka na familia yake. Yeye akakataa na kuomba silaha. NATO wakasita. Lakini baada ya kushuhudia ujasiri wa wapiganaji wa Ukraine dhidi ya wavamizi wa Urusi, NATO wakaanza kusafirisha silaha kwa wingi kwenda Ukraine.
Tuweke kumbukumbu sawa! Marekani haikuondoka Afghanistan ila ilikimbia toka Afghanistan!! Ilishindwa hata kuchukua vitu vyake!! Marekani ilishindwa vita nchi Afghanistan baada ya kupigana huko kwa miaka zaidi ya 20!!!
 
Back
Top Bottom