M Mchokolo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2021 Posts 1,178 Reaction score 2,804 Jun 18, 2022 #41 rip faza_nelly said: Urusi Ilitakiwa itumie muda gani? Click to expand... Kama NATO msingeingilia, vita ilikuwa ihishe ndani ya wiki
rip faza_nelly said: Urusi Ilitakiwa itumie muda gani? Click to expand... Kama NATO msingeingilia, vita ilikuwa ihishe ndani ya wiki
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 18, 2022 #42 Huo ndiyo ukweli...
Drifter JF-Expert Member Joined Jan 4, 2010 Posts 5,122 Reaction score 5,104 Jun 18, 2022 #43 mbingunikwetu said: Tuweke kumbukumbu sawa! Marekani haikuondoka Afghanistan ila ilikimbia toka Afghanistan!! Ilishindwa hata kuchukua vitu vyake!! Marekani ilishindwa vita nchi Afghanistan baada ya kupigana huko kwa miaka zaidi ya 20!!! Click to expand... Sawa. Hili Halina mjadala. Naamini unaujua ukweli.
mbingunikwetu said: Tuweke kumbukumbu sawa! Marekani haikuondoka Afghanistan ila ilikimbia toka Afghanistan!! Ilishindwa hata kuchukua vitu vyake!! Marekani ilishindwa vita nchi Afghanistan baada ya kupigana huko kwa miaka zaidi ya 20!!! Click to expand... Sawa. Hili Halina mjadala. Naamini unaujua ukweli.