Luteni Ian Kagame

Luteni Ian Kagame

[emoji1][emoji1] Vita gani?labda unamaanisha Vita ya huko Twitter/ social medias.

Lkn field hakuna kitu Congo inafanya.
Masaa masaba yana tosha kwa Congo kuinyuka Rwanda ndugu.

Juzi juzi tu Hapa rwanda wameanza kulia baada ya ndege moja ya kivita kuingia rwanda na kuaribu mawasiliano.

Alafu Bado unaleta ushabiki uchwara Hapa.
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Inachekesha Sana aisee,zile SU-25 choka mbovu ndio zinaweza zikafanya Nini Sasa?zimeshindwa kukamata maeneo yaliyo chini ya M-23 mpk leo ndio zikaikamate Rwanda?

Tshisekedi ana Hali ngumu ndani ya nchi yake(Martin Fayulu& associates,huku Kabila na Moise Katumbi collaboration ikiwa jikoni) wamemkalia kooni baada ya kushindwa ku-deliver alichokiahidi wkt akiomba kura miaka hio ambako alisema atahakikisha anamaliza makundi ya waasi huko mashariki,kitu ambacho ameshindwa so anataka kupata sababu ya kuahirisha uchaguzi kwa kusema Yuko vitani na Rwanda.Na PK hawezi kumpa hio mileage,anamuacha apambane na M-23 huko.

Jeshi lisilo na uwezo wa kupambana na waasi walioko nchini kwao mpk linasaidiwa na Majeshi ya nchi za Uganda,Burundi,Tz,Kenya,MONUSCO etc kupambana na waasi na bado linapigwa eti ndio likapigane na nchi nyingine [emoji1][emoji1]

Congo jeshi lake eti liko rated kua ni no. 8 kwa ubora Africa huku Tz Ni ya 23,unaamini Hilo?[emoji1][emoji1][emoji1]

PK anawasubiri hapo na Bayraktar TB2 zake za kutosha,wiki 1 Ni nyingi Sana kuikamata Kinshasa.

Kwa kifupi Congo hamna jeshi,ndio maana vibaka wa M-23 wanaikamata Congo wanavyotaka na hata Sasa wakiamua Goma wanaichukua.

Screenshot_20221113-090541.jpg
 
View attachment 2415160
Ongea yako inakutambulisha.

Na umeshikwa na maaba.

Unaongea Sana mkuu nasijaona la maana,
Isipokua Ni utoto na kukariri.
Ila lakumalizia Ni kwamba, monusco wameambiwa wakijichanganya kwenye ako ka mchezo wanakula chuma pia.

Na mbengoo zeta fongoka. Karibu.
 
[emoji1][emoji1] sababu haieleweki hata ulichokiandika then nakupa nafasi ya kutuma Salama kwa watu watatu.
 
Watusi waliokulia tz waliishia kuwa wakulima na wafugaji, nasikia wanapenda ngono na pombe hivyo hawako focused hawawezi pewa nyazifa kubwa wakazimudu maana wamekaa kizembe na shule hamna au ni maneno ya kuwabania tu?
Hauko objective.kuna kitu unatafuta kuungwa mkono ila bahat mbaya wanakujib kisomi unabak dissapointed
 
[emoji1][emoji1] sababu haieleweki hata ulichokiandika then nakupa nafasi ya kutuma Salama kwa watu watatu.
Jarib kuounguza mahaba kwenye ishu za msingi.Una ufaham mzuri ila uko biased
 
Sawa,Hebu nionyeshe wewe wapi wewe umejibu kitu Cha msingi ili niweze kujifunza kutoka kwako.
Hakuna nilipojibu nimekua nasoma tu na kupitia maandishi yako ndio nimekupa ushauri huu.unaweza jifunza kwa wengi tu humu
 
The former Rwandan Ambassador to the United Nations
has been on the red line since the Inyenyeri news published
the story that he is the real biological father of Ian Kagame.

HUYO JAMAA ANAITWA Eugene Gasana ALIKUWAGA BALOZI WA RWANDA INCHINI MAREKANI
Ila mbegu za Kihima hazifichiki huyu Gasana Na yeye ana matoto marefu yanafanana na matoto ya Kagame cheki
Screenshot_20221113-110442.jpg
 
Kuna mtu aliwahi niambia kuwa watutsi wengi pale Rwanda huwa wanajua vizuri kuwa kuna siku wahutu wataamka na kuchukua haki yao ya utawala maana wao ni 85% so hata wakienda kwenye free and fair election watashinda mapema saana sasa watutsi wengi wanajua kabisa hiyo siku ikitokea wahutu wameshika nchi lazma watalipiza kisasi ikiwemo kuwanyang'anya watutsi haki yao waliyojimilikisha kibabe ya kumiliki siasa na uchumi wa Rwanda pamoja na sekta zote nyeti ikiwemo jeshi so watutsi wale wa Rwanda wote wapo mguu ndani mguu nje kila mmoja kuna nchi ya ziada aliyojiattach wapo waliojiattach na Tz wapo waliojiattach na Uganda na wachache wale wakishua wamejiattach na baadhi ya nchi za ulaya na marekan n.k mfano mtoto mkubwa wa Kagame,Ian Kagame yeye anamiliki mjengo marekani mjini California na zipo tetesi kuwa anayo Green card.
Huyo ni Ivan kagame mkuu
 
Back
Top Bottom