Luteni Ian Kagame

Luteni Ian Kagame

Kuna mtu aliwahi niambia kuwa watutsi wengi pale Rwanda huwa wanajua vizuri kuwa kuna siku wahutu wataamka na kuchukua haki yao ya utawala maana wao ni 85% so hata wakienda kwenye free and fair election watashinda mapema saana sasa watutsi wengi wanajua kabisa hiyo siku ikitokea wahutu wameshika nchi lazma watalipiza kisasi ikiwemo kuwanyang'anya watutsi haki yao waliyojimilikisha kibabe ya kumiliki siasa na uchumi wa Rwanda pamoja na sekta zote nyeti ikiwemo jeshi so watutsi wale wa Rwanda wote wapo mguu ndani mguu nje kila mmoja kuna nchi ya ziada aliyojiattach wapo waliojiattach na Tz wapo waliojiattach na Uganda na wachache wale wakishua wamejiattach na baadhi ya nchi za ulaya na marekan n.k mfano mtoto mkubwa wa Kagame,Ian Kagame yeye anamiliki mjengo marekani mjini California na zipo tetesi kuwa anayo Green card.
Uhalisia mwingine uko hivi.
Watutsi wote wanaamini kuna siku watarudi Rwanda. Yaani Kagame ni kama Musa wao. Hasemwi vibaya, hakosei na ni all knowing.
Ukimsema vibaya Kagame mnaweza kukosana. Wengi wapo Tz lakini hawamkubali rais au uongozi wa Tz kama vile Rwanda.
Marafiki wetu wa kweli kisiasa ni Burundi shida yao ni ya kijamii tu. Yaani ni wakatili wakatili sana...
 
Sasa mfano huyo mtt aliyeliwa kichwa alikuwa na ttz gan
Kwamba Wewe na akili zako timamu umeamini kabisa PK ana Muda wa kupoteza kukaua kademu kasiko na security threat kwake kisa kanatombwa na Bwn wa mtoto wake?😄😄

Kweli ku-brainwash watu Ni kitu rahisi saaana.
 
Ni muhimu sana hili for strategic security of any globalised state administration and management.
we look forward towards working in close collaboration with Ian and Ivan in the near future, we would love to hear lil about the James Kabalebe new coming generations as well.
 
Masaa masaba yana tosha kwa Congo kuinyuka Rwanda ndugu.

Juzi juzi tu Hapa rwanda wameanza kulia baada ya ndege moja ya kivita kuingia rwanda na kuaribu mawasiliano.

Alafu Bado unaleta ushabiki uchwara Hapa.
ni ngumu sana Congo kuipita Rwanda, kwasababu kwenye jeshi la congo kagame amejaza mamluki wanauza ramani everyday, na vita ikianza tu, kagame atakachofanya ni kuongeza silaha kwa M23 ambao wanamsumbua sana congo, yeye atafuata nyuma kumalizia tu. kushinda vita pamoja na kuwa na silaha na jeshi kubwa, unahitaji kuwa na umoja ndani ya jeshi, kitu ambacho congo hakipo na hakitakuja kuwepo. hata tanzania tukiamua kumega upande mmoja wapo wa congo tunaweza na anaweza asitufanye kitu sana pamoja na kwamba sisi hatuna jeshi la waasi ndani ya nchi yao, ila tutakuwa na faida kuwapa silaha m23 au hata FDLR au hata kuungana na Kagame ili tumegane kile tutakachokipata, yeye achukue Kivu na kwengine, sisi tuchukue upande wote wa ziwa Tanganyika tuingie ndani kabisa. hatujaamua tu, na tunavyojua siasa hata mataifa ya nje hayatatufanya kitu.
 
Back
Top Bottom