Luteni Jenerali Roger L. Cloutier wa Jeshi la Marekani atekwa na Makomandoo wa Urusi akiwa vitani Ukraine


But Maj. Brian Andries, deputy public affairs officer at NATO Allied Land Command, confirmed in an email to PolitiFact that Cloutier has not been captured.

"These rumors are completely false," Andries said. "Our commander is currently commanding NATO Allied Land Command in Izmir, Turkey, and has not been to Ukraine since the Land Staff Talks we conducted in July of 2021. While NATO nations are sending financial and military aid to Ukraine, no NATO soldiers or leaders are deployed to the country."
 
Kwenye Vita Mateka huwa ni bidhaa muhimu kwa matumizi mbalimbali hivyo kutokumuua mateka usichukulie ni uoga bali ni mbinu za medani …anaweza kutumika kukupa taarifa muhimu, anaweza kutumika kupata unachotaka kwa adui .n.k

Kuhusu Qassim Suleiman hakuwa mateka aliuawa kwa shambulio la kustukiza hivyo usichanganye ma file
Kama Putin anaubavu amuue Kama Qassim Suleiman alivyouwawa
 
Mtoa posts hii habari umeikopi kwa yericko nyerere Facebook,tunajua yericko nyerere yuko upande wa urusi,mbona hatoi habari ya magenerali 7 wa urusi waliouawa ukraine
 
Kiapo cha wanajeshi wa Marekani ni kuwa tayari kufa kuliko kutoa siri za nchi kwa adui.
He's a cake eater,, amekuwa afisa like career yake yote,, angekuwa staff sergeant hapo ningesema yeees hatafungua domo,, tena ni from army [emoji23][emoji23] kidogo angekuwa jsoc hapo sawa au muhuni wa marine core
 
Usisite na kupost habari za kanusho pia [emoji3]
 
Wangeweka na kaushahidi ka evidence Cloutier akiwa salama ingependeza si unajua maneno matupu hayavunji mfupa?!
 
We ni mjinga mtu katekwa unauliza kuuwawa
Sasa hapa mjinga nani,yule anaeamini habari za uongo au yule anaezikataa.Hakuna General yoyote aliyetekwa,ukweli ndiyo huo,leteni habari nyingine ya kujifariji maana mmekuwa na makasiriko muda wote baada ya Putin kuwatieni aibu Ukraine[emoji846]
 
Kila siku wanapelekewa moto na Zelensky, Leo warusi wa kwa mpalange wameamua waje na habari ya kujifariji kidogo make wiki mbili mfululizo wamenuna tu hakuna habari nzuri kwao.
Wanateseka balaa,wamekoma kuleta habari za Ukraine wamebakia kuokoteza vijihabari uchwara [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…