Luteni Jenerali Roger L. Cloutier wa Jeshi la Marekani atekwa na Makomandoo wa Urusi akiwa vitani Ukraine

Upo sahihi! Kama wanayo, usaliti Ni nje nje! Ataongea vyote hata asivyoulizwa!!!! Kiapo kwa wanadamu wenye mwili wa nyama???
Uzuri habari ni ya uongo,subirini siku wakibahatika kumteka ndiyo mje na hizi assumptions zenu
 
wachambuzi wetu bana sa unadhani Putin anashindwa ? Nazi walimuua mtoto wa Stalin na haikuwa na effect yoyote
Mtoto wa Stalin hakuuawawa na Nazi kwa maamuzi yao. Stalin alimtuma aende vitani frontline. Kule akatekwa, Ujerumani kugundua mtoto wa Stalin katekwa Hitler akatuma ujumbe mbiombio kwa furaha akimtaka Stalin wafanye prisoner exchange USSR imuachie Field Marshall Friedrich Paulus aliyejisalimisha kwenye mapigano makali sana na mwanzo wa Ujerumani kushindwa ya Stalingrad. Field Marshall Paulus alikuwa ndio wa kwanza wa cheo chake kujisalimisha kwenye jeshi la Ujerumani, hata angerudishwa its likely angeuwawa kwa kulitia aibu jeshi lao.

Stalin alisema siwezi badilishana Field Marshall na Lieutenant. Mwanae alijitupa kwenye uzio wa umeme alikokuwa ametekwa akapigwa risasi hapo
 
Waanzishie thread kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila siku wanapelekewa moto na Zelensky, Leo warusi wa kwa mpalange wameamua waje na habari ya kujifariji kidogo make wiki mbili mfululizo wamenuna tu hakuna habari nzuri kwao.
Jamaa kumbe hajatekwa, kuna mwamba ameleta mpaka link humu. Hii ngoma imekuwa nzito warusi kuicheza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe kuna magenarali wa US wapo wanamzingua Putin hapo Ukraine ndio maana kashindwa kuteka miji ya maana kaishia kuizunguka Kyiv mwezi mzima
Siyo majenerali wa USA tu! Ni USA, Ufaransa, Ujerumani, .... the list goes on + NATO. Kwa kifupi, Urusi anapigana na mataifa lukuki na amefanikiwa kuyabamiza kwa sehemu kubwa!
 
Jamaa alikuwa na roho ngumu yaani alimyacha mwanaye akafa wakati uwezo wa kumsaidia alikuwa nao?
 
Wabongo bhana huyo General Mwenyewe yuko Turkey na kaisha kanusha kitambo humu watu ni league
Achana na huyu General, anza na yule sniper wa canada anaitwa WALI. Walisema amekufa, majuzi kati akajitokeza wazi kabisa kuwa ni mzima.

Bado karata hazipo vizuri upande wa Russia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…