Kama Putin anaubavu amuue Kama Qassim Suleiman alivyouwawa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umetisha mkuuUnaweza ukakuta kichwa chenyewe kina uwalaza na ushaambiwa akili ni nywele. [emoji23]
Na Ni kweli Kwamba wafuasi wa US/NATO na mageneral wao vilainishi ndio kitu wanapenda kuliko kupiga kwata.Haileti unafuu wowote dhidi ya uhalisia wa Putin kudharirika Ukraine,hakuna cha General wa US kutekwa wala nini lakini ni kweli Magenerals wa Russia wamepukutika Ukraine hadi RT ikaonyesha mazishi yao
Wewe ndo unafanganya kuwa jeneral ameketwa? Mbona amejitokeza kuwa yupo hai, jichunguze kijana.Mkuu ukicopy makala ya mtu usiondoe jina la mwandishi wake... Post kama ilivyo
Naona ila USA Na CIA wamekanusha Taarifa hiziKiapo cha wanajeshi wa Marekani ni kuwa tayari kufa kuliko kutoa siri za nchi kwa adui.
Kama habari zitakua zakweli faida zitakua kwa RUSSIAHuu ukamatwaji unamfaidisha nani na kivipi?
Inamfaidisha kivipi? Wanaweza mtumia kama collateral kwenye makubaliano?Kama habari zitakua zakweli faida zitakua kwa RUSSIA
Hehehee[emoji3][emoji3][emoji3]Hebu tuwekee source yako hapa ambapo kamanda Putin alisema wataikuchukua Ukraine ndani ya siku 3,na ukishindwa kuweka source then toka hapo nje ya nyumba kisha angalia juu na ujipige pige kifua huku ukisema kwa sauti " hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele.".
KabisaMkuu ukicopy makala ya mtu usiondoe jina la mwandishi wake... Post kama ilivyo
Ndio wanaweza wakamtumia MKUUInamfaidisha kivipi? Wanaweza mtumia kama collateral kwenye makubaliano?
pro-Ruskin, TandahimbaPentagon hawana taarifa ila ww secretary wa Putin wa Tandahimba tayari taarifa unazo,
Hongera
nazani hakuna jeshi lenye kiapo cha kutoa siri kwa adui...Kiapo cha wanajeshi wa Marekani ni kuwa tayari kufa kuliko kutoa siri za nchi kwa adui.
Hahahahaaaa, wamepigwa na mshangao kuona mbabe waliyekuwa wanamwamini anarudisha majeshi nyuma![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kaka yangu we acha tu,watu wamevurugwa humu vibaya sana,Putin alichowafanyia Pro Russia siyo poa kabisa.Hawajui washike lipi waache lipi kwa sasa
Hahahaaa, hapo kwenye kujipiga kifua umetisha sana mkuu.Hebu tuwekee source yako hapa ambapo kamanda Putin alisema wataikuchukua Ukraine ndani ya siku 3,na ukishindwa kuweka source then toka hapo nje ya nyumba kisha angalia juu na ujipige pige kifua huku ukisema kwa sauti " hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele.".
Snowden ni defector fake, anazuga ameasi ili hali lengo lake ni kwenda kuwadukua warusi. Huyo bado ni CIA mtiifu ndio maana hata Urusi wana mashaka nae, hawampi access kwenye vitu nyeti.nazani hakuna jeshi lenye kiapo cha kutoa siri kwa adui...
cc Edward Snowden ana ongoza vita uhamishoni urusi na kuhack mitambo ya ndugu zake wamarekani... mwanajeshi muhasi wa marekani huyu au ni mzalendo? au shujaa?
kazi imeanza... nazani uliona double agents kinacho wakuta... mfano yule aliyetumika na ukraine na urusi kwa wakati mmoja...Snowden ni defector fake, anazuga ameasi ili hali lengo lake ni kwenda kuwadukua warusi. Huyo bado ni CIA mtiifu ndio maana hata Urusi wana mashaka nae, hawampi access kwenye vitu nyeti.
Pentagon hawana taarifa ila ww secretary wa Putin wa Tandahimba tayari taarifa unazo,
Hongera