Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Kama Putin anaubavu amuue Kama Qassim Suleiman alivyouwawa
Huyo ni mtaji wa vita kamwe hawezi kuuawa kirahisi hivyo, Ranson yake kama itabadilishwa in terms of money basi Russia itapiga pesa ndefu mno, huyo ni kipusa kwa sasa.🤣