Luteni Jenerali Roger L. Cloutier wa Jeshi la Marekani atekwa na Makomandoo wa Urusi akiwa vitani Ukraine

Luteni Jenerali Roger L. Cloutier wa Jeshi la Marekani atekwa na Makomandoo wa Urusi akiwa vitani Ukraine

Haileti unafuu wowote dhidi ya uhalisia wa Putin kudharirika Ukraine,hakuna cha General wa US kutekwa wala nini lakini ni kweli Magenerals wa Russia wamepukutika Ukraine hadi RT ikaonyesha mazishi yao
Na Ni kweli Kwamba wafuasi wa US/NATO na mageneral wao vilainishi ndio kitu wanapenda kuliko kupiga kwata.
 
Hebu tuwekee source yako hapa ambapo kamanda Putin alisema wataikuchukua Ukraine ndani ya siku 3,na ukishindwa kuweka source then toka hapo nje ya nyumba kisha angalia juu na ujipige pige kifua huku ukisema kwa sauti " hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele.".
Hehehee[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pentagon hawana taarifa ila ww secretary wa Putin wa Tandahimba tayari taarifa unazo,

Hongera
pro-Ruskin, Tandahimba
1649267286050.png
 
Kiapo cha wanajeshi wa Marekani ni kuwa tayari kufa kuliko kutoa siri za nchi kwa adui.
nazani hakuna jeshi lenye kiapo cha kutoa siri kwa adui...

cc Edward Snowden ana ongoza vita uhamishoni urusi na kuhack mitambo ya ndugu zake wamarekani... mwanajeshi muhasi wa marekani huyu au ni mzalendo? au shujaa?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kaka yangu we acha tu,watu wamevurugwa humu vibaya sana,Putin alichowafanyia Pro Russia siyo poa kabisa.Hawajui washike lipi waache lipi kwa sasa
Hahahahaaaa, wamepigwa na mshangao kuona mbabe waliyekuwa wanamwamini anarudisha majeshi nyuma!
 
Hebu tuwekee source yako hapa ambapo kamanda Putin alisema wataikuchukua Ukraine ndani ya siku 3,na ukishindwa kuweka source then toka hapo nje ya nyumba kisha angalia juu na ujipige pige kifua huku ukisema kwa sauti " hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele.".
Hahahaaa, hapo kwenye kujipiga kifua umetisha sana mkuu.

Siyo sosi, nyie mashabiki wa huyo kamanda Putin ndiyo mlisema kwamba ataisambaratisha Ukraine kwa siku tatu.
 
nazani hakuna jeshi lenye kiapo cha kutoa siri kwa adui...

cc Edward Snowden ana ongoza vita uhamishoni urusi na kuhack mitambo ya ndugu zake wamarekani... mwanajeshi muhasi wa marekani huyu au ni mzalendo? au shujaa?
Snowden ni defector fake, anazuga ameasi ili hali lengo lake ni kwenda kuwadukua warusi. Huyo bado ni CIA mtiifu ndio maana hata Urusi wana mashaka nae, hawampi access kwenye vitu nyeti.
 
Snowden ni defector fake, anazuga ameasi ili hali lengo lake ni kwenda kuwadukua warusi. Huyo bado ni CIA mtiifu ndio maana hata Urusi wana mashaka nae, hawampi access kwenye vitu nyeti.
kazi imeanza... nazani uliona double agents kinacho wakuta... mfano yule aliyetumika na ukraine na urusi kwa wakati mmoja...
 
Pentagon hawana taarifa ila ww secretary wa Putin wa Tandahimba tayari taarifa unazo,

Hongera

Usitegemee Pentagon kama watatoa Official statement kuelezea Arresting ya Huyu kamanda wao, Mana kufanya ivo ni sawa na kutoa official statemet kuwa wameanza kuingilia Vita hiyo, US alishasema mwanzo kupitia POTUS Biden kuwa hataingilia hio vita directly yeye ata impose tu sanctions za kutosha ila sio kwenda kwenye battlefield ijapokuwa anaweza kuwa anaenda secretly
 
Back
Top Bottom