Luteni Jenerali Roger L. Cloutier wa Jeshi la Marekani atekwa na Makomandoo wa Urusi akiwa vitani Ukraine

Snowden ni defector fake, anazuga ameasi ili hali lengo lake ni kwenda kuwadukua warusi. Huyo bado ni CIA mtiifu ndio maana hata Urusi wana mashaka nae, hawampi access kwenye vitu nyeti.
[emoji16][emoji16][emoji16] kwa hio mkuu Kuna uwezekano wewe ukajua Kwamba Snowden anaifanyia Kazi US halafu Russia wenyewe wakawa hawajui sio?
 
Hahahaaa, hapo kwenye kujipiga kifua umetisha sana mkuu.

Siyo sosi, nyie mashabiki wa huyo kamanda Putin ndiyo mlisema kwamba ataisambaratisha Ukraine kwa siku tatu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Huyu ataachiliwa baada ya vikwazo vyote kuondolewa. Lakini ataachiliwa akiwa hanidhi
Bahati mbaya sana unaota ndoto saa saba mchana,watamwachiliaje mtu ambae hata hawajamteka [emoji1787][emoji1787]
 

Ukimaliza ushabiki wako nipe connection ya wapi ntanunua mafuta ya kula kwa bei rafiki pia mafuta ya petrol na diesel
 
Hi habari Ni ya uzushi tokA juzi naiona na bahati nzuri hata source za mwanzo za kutoka ulaya wanasema Ni uncomfirmed..
Nb, majenerali sio watu wa kuingia uwanja was Vita kupigana au kufundisha mbinu za kivita Kama ambavyo inasemwa na kuhadithiwa na mbumbumbu was medani za kivita.
Majenerali wao Ni watu wa command na order tu. Na Mara nyingi wakipokea ushauri kutoka kwa makamanda vitani, Ni wao hubadili uelekeo was Vita kwa kuzingatia uhalisia ulivyo kutoka kwa commanders.
Nb. Katika middle East na hasa katika nchi ambazo Ni Ant - US majenerali huingia mstari wa mbele kupigana eg rejea Syrian war meja Jenerali Qassem Soleiman was Iran, rejea pia meja Jenerali Suheil El Hassan, Brigedia generali nk
 
🤣🤣🤣🤣🤣👆mashabiki uchwara wa Ukraine na us😁😁wanatoa povu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…