Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16] kwa hio mkuu Kuna uwezekano wewe ukajua Kwamba Snowden anaifanyia Kazi US halafu Russia wenyewe wakawa hawajui sio?Snowden ni defector fake, anazuga ameasi ili hali lengo lake ni kwenda kuwadukua warusi. Huyo bado ni CIA mtiifu ndio maana hata Urusi wana mashaka nae, hawampi access kwenye vitu nyeti.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hahahaaa, hapo kwenye kujipiga kifua umetisha sana mkuu.
Siyo sosi, nyie mashabiki wa huyo kamanda Putin ndiyo mlisema kwamba ataisambaratisha Ukraine kwa siku tatu.
Ni kweli kabisa.Vita si vikoba broo, na kwa akili zako tu hata za kuvukia barabara ikiwa kila unachoambiwa huwa huchunguzi kabla ya kuamini basi utakuwa una tatizo mahali flani kwenye ubongo wako
Wana wasiwasi nae, wanaishi nae kwa tahadhari.[emoji16][emoji16][emoji16] kwa hio mkuu Kuna uwezekano wewe ukajua Kwamba Snowden anaifanyia Kazi US halafu Russia wenyewe wakawa hawajui sio?
Kwa hiyo mimi kuambiwa kuwa kichwa cha kufugia nywele ndio unafurahia namna hiyo?, haina shida, leo kwangu kesho kwako![emoji1787][emoji1787] JF sing'oki kamwe [emoji38][emoji28]
Huyu ataachiliwa baada ya vikwazo vyote kuondolewa. Lakini ataachiliwa akiwa hanidhiKama Putin anaubavu amuue Kama Qassim Suleiman alivyouwawa
Bahati mbaya sana unaota ndoto saa saba mchana,watamwachiliaje mtu ambae hata hawajamteka [emoji1787][emoji1787]Huyu ataachiliwa baada ya vikwazo vyote kuondolewa. Lakini ataachiliwa akiwa hanidhi
🤣🤣🤣Kwa hiyo mimi kuambiwa kuwa kichwa cha kufugia nywele ndio unafurahia namna hiyo?, haina shida, leo kwangu kesho kwako!
Zamotomoto kutoka katika uwanja wa Vita mji wa Mauripol, Makomandoo wa Urusi kutoka kikosi hatari zaidi Ulimwenguni cha Spetsnaz kilichochini ya KGB /FSB wamemteka Kamanda wa Jeshi la Marekani Luten General Roger L. Cloutier Jr, Pamoja na propaganda kadhaa za watu wasio rasmi wala wasemaji wa Marekani kukanusha taarifa hizo, lakini Pentagon na White House hawajatoa taarifa zozote.
Ifahamike kuwa hapo mwanzo Putin alionya kwamba mamluki yeyote atakayeingia Urus atashughulikiwa sawasawa na mhalifu na adui wa Moscow, Na ikikumbukwa ni wiki tatu tu waliposhanbuliwa Mamluki wa Uingereza katika miji ya Khakyiv nk. Sasa leo ni Marekani.
Huyu amekuwa akijichimbia kwenye kambi ya kijeshi ya Azov mjini Mauripol akiongoza vikosi vya Ukraine kwa muda mrefu na kutoa upinzani kwa majeshi ya Ukombozi ya Urusi. Taarifa toka Moscow zinasema kamanda huyu alikuwa akiongoza vikosi vya Walenga shabaha (snipers) ambao wengi wameshaanhamizwa.
Luteni General Roger amwahi kuongoza kikosi cha Marekani kilichoko Afrika (Africa Command HQ.
Taarifa zinasema kwa siku ya tatu sasa Marekani inahaha kumkomba bila mafanikio na imejaribi kila njia kumpigia magoti Rais Putin, ambapo kinyume chake Putin ameamuru General huyu na wenzake waliokamatwa wapelekwe Moscow
View attachment 2177884
View attachment 2177885
View attachment 2177891
View attachment 2177894
View attachment 2177895
Ni tetesi sio ya kweli....Kabisa
Ila kama kakopi kwako hii habari nna imani kubwa itakua yakweli
ANYONGWE
aaah shukran MKUUNi tetesi sio ya kweli....
Mateka hua hauliwi ndugu.Kama Putin anaubavu amuue Kama Qassim Suleiman alivyouwawa