Lutheran Primary School Moshi ilivyokuwa 1958 na sasa

Lutheran Primary School Moshi ilivyokuwa 1958 na sasa

Mwaka 1958 wengine tumeshamaliza Primary School (1 - 4) tuko Middle School darasa la sita! Naomba mtuamini tukikosoa historia isimuliwayo na vijana.
Mag...
Ni mtu mjinga tu ndiye apewae elimu asiyokuwanayo badala ya kuipokea akafaidika na kuwa mwerevu akaleta ubishi.
 
ukiwa kijana hukuwa na mambo mengi, umezeeka umekuwa mjuaji sana na mbaya zaidi hujui utuloe na uamuzi gani..
Donnie...
Wakati Niko sekondari ukiingia chumbani kwangu utacheka.
Nimetundika blackboard nasomea masomo ya shule.

Nahifadhi Kisha nilichohifadhi naandika kwenye huo ubao.
Nina Hoffner Electric Guitar nikipiga miziki ya Rolling Stones, Wilson Pickett nk.

Nina Addidas nachezea mpira.
Nina collection yangu ya records na vitabu vya kila aina.

Mimi mtu mmoja nataka niwe msomi nikasome Amerika, nataka nipige guitar kama Wes Montgomery nataka nivae jezi ya Sunderland sasa Simba.

Mambo chungu nzima mtu mmoja.
Ujuaji toka zamani 'influence'' niliyokulia na kuzaliwa mjini.
 
Life must have been lovely back then, until you found your talent for ruffling religious sentiments through peddling dubious pseudohistory, and other divisive shenanigans on Islam vs. Christianity, which then became your meal ticket.
Gold...
Kinachokuudhi ni mimi kuandika historia iliyosahihisha historia iliyozoeleka.

Kwa nini hujiulizi kitu gani kiliwafanya waandhishi kuandika historia isiyo ya kweli?
 
Gold...
Kinachokuudhi ni mimi kuandika historia iliyosahihisha historia iliyozoeleka.

Kwa nini hujiulizi kitu gani kiliwafanya waandhishi kuandika historia isiyo ya kweli?
Unachoandika ni Simulizi na Hadithi MS, kama ulivyozipokea kutoka kwa Ndugu na Jamaa wa Wajomba zako, na si Historia. Hii ni kauli yako mwenyewe. Real History is founded on facts and evidence, and not simple hearsay.
 
Unachoandika ni simulizi na hadithi MS, kama ulivyosimuliwa na ndugu na jamaa wa wajomba zako, na si historia. Hii ni kauli yako mwenyewe.
Gold...
Ikiwa wewe huamini niliyoandika hakuna neno.

Ila kaa ukijua nimesimama kwingi nikikieleza kitabu hiki.

Elewa pia review ya kitabu imechapwa katika Cambridge Journal of African History.

Naamini unaijua University of Cambridge.
Haya yote zaidi ya miaka 20 iliyopita.

Wewe unaniuliza maswali ya kitabu cha Abdul Sykes leo.
 
Gold...
Ikiwa wewe huamini niliyoandika hakuna neno.

Ila kaa ukijua nimesimama kwingi nikikieleza kitabu hiki.

Elewa pia review ya kitabu imechapwa katika Cambridge Journal of African History.

Naamini unaijua University of Cambridge.
Hao Cambridge University, Harvard University, Oxford University, et al wapo open-minded kuruhusu mitazamo tofauti tofauti ya masuala mbalimbali. Haimaanishi kuwa wao kufanya tathmini ya kitabu chako (review) kwamba ndiyo wamehalalisha au ku endorse maudhui yaliyomo kitabuni.
 
Back
Top Bottom