Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #21
Mkaza...Alaah! Kumbe mzee Mohamed ulipata elimu kwenye shule za "kikafiri"
Ndiyo elimu utumiayo sasa kwenye makala zako za "historia ya tanganyika"
unataka ugomvi na wenye dini zaoEnzi hizo kusoma shule za dini haikuwa na udini wowote safi sana tofauti na siku izi
T14...Mzee huwa nakukubali sana kila nikisoma historia yako. Natamani watu wengine wangekuwa kama wewe kwenye kutunza kumbukumbu zao
Mwaka 1958 wengine tumeshamaliza Primary School (1 - 4) tuko Middle School darasa la sita! Naomba mtuamini tukikosoa historia isimuliwayo na vijana.Nilianza darasa la kwanza mwaka wa 1958 kwenye jengo hilo hapo chini lililokuwa ni Kanisa la Kilutheri.
Mag...Mwaka 1958 wengine tumeshamaliza Primary School (1 - 4) tuko Middle School darasa la sita! Naomba mtuamini tukikosoa historia isimuliwayo na vijana.
Waache waje niwapeleke Kyivunataka ugomvi na wenye dini zao
Mhandisi...Mudi,
Shikamoo.
Kweli wewe ni nguli wa historia....
Donnie...ukiwa kijana hukuwa na mambo mengi, umezeeka umekuwa mjuaji sana na mbaya zaidi hujui utuloe na uamuzi gani..
Mudi,Mhandisi...
Kwa nini unanivika taji kubwa kama hilo?
Mhandisi...Mudi,
Nmekusoma sana humu JF.
Japo ndugu zangu wengi waislam wanapenda kuitumiaa?Mkaza...
Hiyo si lugha inayopendeza.
Gold...Life must have been lovely back then, until you found your talent for ruffling religious sentiments through peddling dubious pseudohistory, and other divisive shenanigans on Islam vs. Christianity, which then became your meal ticket.
Unachoandika ni Simulizi na Hadithi MS, kama ulivyozipokea kutoka kwa Ndugu na Jamaa wa Wajomba zako, na si Historia. Hii ni kauli yako mwenyewe. Real History is founded on facts and evidence, and not simple hearsay.Gold...
Kinachokuudhi ni mimi kuandika historia iliyosahihisha historia iliyozoeleka.
Kwa nini hujiulizi kitu gani kiliwafanya waandhishi kuandika historia isiyo ya kweli?
Mwana...Japo ndugu zangu wengi waislam wanapenda kuitumiaa?
Gold...Unachoandika ni simulizi na hadithi MS, kama ulivyosimuliwa na ndugu na jamaa wa wajomba zako, na si historia. Hii ni kauli yako mwenyewe.
Hao Cambridge University, Harvard University, Oxford University, et al wapo open-minded kuruhusu mitazamo tofauti tofauti ya masuala mbalimbali. Haimaanishi kuwa wao kufanya tathmini ya kitabu chako (review) kwamba ndiyo wamehalalisha au ku endorse maudhui yaliyomo kitabuni.Gold...
Ikiwa wewe huamini niliyoandika hakuna neno.
Ila kaa ukijua nimesimama kwingi nikikieleza kitabu hiki.
Elewa pia review ya kitabu imechapwa katika Cambridge Journal of African History.
Naamini unaijua University of Cambridge.