Luxury Cars stolen from UK: SFO in action

Unasema analipa pounds 400 kwa mwezi kwa nyumba ya thamani ya 250,000 mmmh (250,000/400)=625months Duuuh hii sio kweli.
 
Jaman hili jambazi likitua Bongo wajulishe ndugu zetu wa kule Bongo ili wakae mkao wa tahadhari. Hili lililothubutu ughaibuni likirudishwa Tanzania si itakuwa soo jamani??? Namshukuru aliyepost picha yake hapa. Na huyo mlimbwende alijua kaolewa na jambazi au tena ndo wale majambaza wanatumia vijiofisi kama fix tu but the really business is under question mark!!!!! Mh hapo patamu mno. Maana kama alipapatikia feza basi tena ajue ni za mtutu wa bunduki, kazi ipo aamue kusuka au kunyoa. Ajue kaolewa na marehemu ni vile tu siku ya msiba haijajulikana rasmi!!! Japo hata mimi na wewe siku moja tutakuwa marehemu na siku ya msiba haijulikani but kwa jambazi ni more riskier!!!! Japo pia tunaweza kumtangulia mbele ya muumba but still a riskier activity!!!!
 
SFO joins car theft probe:JAILED TANZANIAN CRIMINAL CAUGHT DRIVING STOLEN MERCEDES BENZ IN UK

THISDAY REPORTER

Dar es Salaam

THE UK's anti-fraud watchdog has joined investigations into a car theft ring involving the export of stolen luxury vehicles from Britain to Tanzania.

According to British police sources, the Serious Fraud Office (SFO) is investigating the international aspect of the syndicate.

The SFO is a UK government department and is part of the British criminal justice system. Investigators from the watchdog agency are usually called in to probe only ''serious and complex fraud.''

Experts say the involvement of Britain's anti-fraud investigators in the case proves the seriousness of the crimes committed by the gang of car thieves.

''The key criterion we use when deciding whether to accept a case is that the suspected fraud appears to be so serious or complex that its investigation should be carried out by those responsible for its prosecution,'' says the SFO in its website.

''The SFO could not - and does not - take on every referred case of suspected fraud. SFO resources must be focussed on major and complicated fraud.''

The SFO says factors considered when accepting to investigate a case include the fact that the value of the alleged fraud exceeds
GBP 1 million (approx. 2bn/-).

In Tanzania, the SFO has notably been involved in investigations into the $41m military radar scandal.

British authorities are trying to recover an estimated GBP 1.5 million (approx. 3bn/-) in the international scam involving the theft of luxury vehicles in the UK, and their subsequent exportation for sale in Tanzania and neighbouring Kenya.

A Tanzanian national identified as Mponjoli Malakasuka (36) was convicted in the UK last year of charges connected to the suspected car theft racket, and sentenced to three and a half years in prison.

The fraud involving Malakasuka saw dozens of prestige cars such as Aston Martins, Range Rovers and BMWs stolen from wealthy areas in the Midlands, UK, and then exported in sealed shipping containers to Tanzania.

Malakasuka was arrested in 2007 when police ran a check on his Mercedes and found it was stolen.

The Tanzanian and his associates had rented prestige high-value cars which were then reported stolen to the insurance company.

The gang also swiped luxury cars from driveways by fishing car keys through letterboxes across the West Midlands, Staffordshire, the north and London.

At least twice Malakasuka paid for two Range Rover Sports cars and then reported them stolen to claim on the insurance.

Financial investigators from the UK's Economic Crime Team recovered five cars in a 10-day spell in 2007, but many more were thought to have been smuggled abroad through Felixstowe or Southampton docks hidden in containers.

The racket was busted when an eagle-eyed manager with a car hire company noticed that many of the cars reported stolen had been hired using the same credit card.

He alerted police and, using a tracking device, they waited for a match to come up.

When it did, and one of the supposedly stolen vehicles was reported driving along West Bromwich High Street, police raced to the scene and caught Malakasuka at the wheel.

A UK financial investigator, acting Detective Sergeant Chris Harris, said: ''It's incredible to think a global investigation could come from such a small piece of information.''

He added: ''But the rental firm smelled a rat, let us know and when we got the shout we arrested him (Malakasuka). Then the inquiry just ran and ran.''

The Tanzanian national eventually pleaded guilty to conspiracy to steal at Wolverhampton Crown Court. He was the only person convicted for the car ringing racket, but police believe he worked as part of a gang.

Det Sgt Harris added: ''What started as an inquiry into a rented car that had not been returned spiralled into an investigation into a global fraud. Much of the international element of it has now been passed to the Serious Fraud Office, but we're proud to say we played our part.''

A spokesman for the Serious Fraud Office said they did not wish to comment on the investigation.
 
HEARSAY,has it that there is one very prominent tanzanian in dar owning one of these hot cars-at the time of purchase he did not know it was hot.currently it is holed up in his garage on the pretext that the engine has ceased
 
Where we dare to talk openly...
 
They have caught only one guy and charge him, how can that be while we know that it must have been a network plan... i don't condone what Dr. Mponjoli did but i am worried an advanced country [in terms of security measures and intelligence] kama UK wanashindwa kukamata mtandao wa wezi wa magari

Kwangu mimi SFO haijanisadia kwasababu mpaka leo wanahangaika na suala la RADAR, CHENGE na ile mikataba feki bila majibu... their pace in investigation is not desirable
 
wametusaidia ni sisi wenyewe tu ndio hatutaki. wameleta details zote na chenge kajiuzulu , rashid yuko palepale. TZ kazi yake ni kuwapeleka jela, au unataka wawachukue waje kuwapeleka jela ukonga....
 
KaRmA is a BiAAtcHH!!

And the tongue is a fire, a world of iniquity - (James 3:6)

The apostle James in this Scripture, describes the evil of the tongue

1. "It is a fire." It burns with intemperate heat; it causeth the heat of contention; it sets others in a flame.

2. "A world of iniquity." It was at first made to be an organ of God's praise, but it is become an instrument of unrighteousness. All the members of the body are sinful, as there is bitterness in every branch of wormwood, but the tongue is excessively sinful, "full of deadly poison" (verse 8).
 
Hii ndiyo siri ya Vogue nyingi Dar? Kwa sasa Cadilac brand new, Audi mpya kabisa, Navigator brand new n,k si kitu cha ajabu Dar. Watu wana magari mpaka inakuwa ngumu kuamini vyanzo vya pesa za kununua magari makali kiasi kile zinapatikana vipi

audi_locus_concept_car.jpg

Audi_TT_Cabrio_W12.jpg

range20rover203_020td6620vogue.jpg

range_rover_vogue.jpg

Cadillac09.jpg

08.cadillac.cts.340.jpg

Converj1.jpg

112_2006_sema_309z%2B2007_lincoln_navigator_by_exotic_cars%2Bfront_view.jpg
 
Naomba wana JF mnielewe katika hili. Nasympthyise na Dr. Mponjoli. He did what he could for his family na his country. Hii ndio true patriotism kwa taifa lake na watu wake.
Mimi ni Mtanzania wa kazi ya 'kijungu jiko' nikiishi nyumba ya kupanga ya vyumba 3. Nimefanya kazi kwa miaka zaidi ya 10 kwa mshahara halali, hata msingi sina.

Mponjoli ni shujaa kwa watu wa aina yangu. Tunatamani tungekuwepo kwenye mgao wa EPA ili kubadili maisha yetu. Hatumo....

Mtanzania anayechora deal kabambe kuwatoka wazungu
Magari makali kuyaleta home Bongo, huyo ni Mzalendo wa kweli. Nimehudhuria party ya Wabongo, Mt. Vernon, hayo magari na dressing nilizoona hapo kwenye nchi za watu, huwezi kuamini ni waBongo hao huku vijijini vyao ni nyumba za mbavu za mbwa!, afadhali alichokuwa anafanya Dr. Mponjoli.

Cha msingi, tukusanye nguvu zetu, tumuombee Mponjoli amelize salama, umebaki mwaka mmoja, arudi nyumbani, afaidi matunda ya jasho lake. Kwangu bado ni shujaa angalau hajawaibia masikini Watanzania, kuwaibia wazungu matajiri waliotuibia sana tangu enzi za ukoloni, ni kurudisha tuu sehemu ya mali zetu walizoiba.
mungu msaidie Mponjoli amalize Salama!.

Pia naomba msinilaumu, ni mtazamo from angle ya umasikini wa kutupwa. Samahanini!.
 
Magari makali kuyaleta home Bongo, huyo ni Mzalendo wa kweli.
Nimehudhuria party ya Wabongo, Mt. Vernon, hayo magari na dressing nilizoona hapo kwenye nchi za watu, huwezi kuamini ni waBongo hao huku vijijini vyao ni nyumba za mbavu za mbwa!, afadhali alichokuwa anafanya Dr. Mponjoli.

Cha msingi, tukusanye nguvu zetu, tumuombee Mponjoli amelize salama, umebaki mwaka mmoja, arudi nyumbani, afaidi matunda ya jasho lake. Kwangu bado ni shujaa angalau hajawaibia masikini Watanzania, kuwaibia wazungu matajiri waliotuibia sana tangu enzi za ukoloni, ni kurudisha tuu sehemu ya mali zetu walizoiba.
mungu msaidie Mponjoli amalize Salama!.

Pia naomba msinilaumu, ni mtazamo from angle ya umasikini wa kutupwa. Samahanini!.
Tanzania kazi sana kuendelea......mpaka vijamaa type hii vitoweke...
 
Naomba wana JF mnielewe katika hili. Nasympthyise na Dr. Mponjoli. He did what he could for his family na his country. Hii ndio true patriotism kwa taifa lake na watu wake.
Mimi ni Mtanzania wa kazi ya 'kijungu jiko' nikiishi nyumba ya kupanga ya vyumba 3. Nimefanya kazi kwa miaka zaidi ya 10 kwa mshahara halali, hata msingi sina.

Mponjoli ni shujaa kwa watu wa aina yangu. Tunatamani tungekuwepo kwenye mgao wa EPA ili kubadili maisha yetu. Hatumo....

Mtanzania anayechora deal kabambe kuwatoka wazungu
Magari makali kuyaleta home Bongo, huyo ni Mzalendo wa kweli. Nimehudhuria party ya Wabongo, Mt. Vernon, hayo magari na dressing nilizoona hapo kwenye nchi za watu, huwezi kuamini ni waBongo hao huku vijijini vyao ni nyumba za mbavu za mbwa!, afadhali alichokuwa anafanya Dr. Mponjoli.

Cha msingi, tukusanye nguvu zetu, tumuombee Mponjoli amelize salama, umebaki mwaka mmoja, arudi nyumbani, afaidi matunda ya jasho lake. Kwangu bado ni shujaa angalau hajawaibia masikini Watanzania, kuwaibia wazungu matajiri waliotuibia sana tangu enzi za ukoloni, ni kurudisha tuu sehemu ya mali zetu walizoiba.
mungu msaidie Mponjoli amalize Salama!.

Pia naomba msinilaumu, ni mtazamo from angle ya umasikini wa kutupwa. Samahanini!.

With Due respect:

Mwizi ni mwizi hata umpambe kwa majina ya dhahabu. We need to promote people of high moral esteem na siyo wezi. Hivi lini tutaacha kushabikia wezi? mtu anaiba unajisifu kwamba 'jamaa mjanja'. Matokeo nchi imeweka reani kwa wabaka uchumi kupitia ushabiki wetu huu huu. Inatia uchungu sana mwizi kuitwa patriotic na patriotic kuitwa 'wakuja'.

Watanzania tubadilike kutoka katika kupenda 'short cut' kina Mponjoli et al.

God bless true Tanzanians!
 
Naomba wana JF mnielewe katika hili. Nasympthyise na Dr. Mponjoli. He did what he could for his family na his country. Hii ndio true patriotism kwa taifa lake na watu wake.
Mimi ni Mtanzania wa kazi ya 'kijungu jiko' nikiishi nyumba ya kupanga ya vyumba 3. Nimefanya kazi kwa miaka zaidi ya 10 kwa mshahara halali, hata msingi sina.

Mponjoli ni shujaa kwa watu wa aina yangu. Tunatamani tungekuwepo kwenye mgao wa EPA ili kubadili maisha yetu. Hatumo....

Mtanzania anayechora deal kabambe kuwatoka wazungu
Magari makali kuyaleta home Bongo, huyo ni Mzalendo wa kweli. Nimehudhuria party ya Wabongo, Mt. Vernon, hayo magari na dressing nilizoona hapo kwenye nchi za watu, huwezi kuamini ni waBongo hao huku vijijini vyao ni nyumba za mbavu za mbwa!, afadhali alichokuwa anafanya Dr. Mponjoli.

Cha msingi, tukusanye nguvu zetu, tumuombee Mponjoli amelize salama, umebaki mwaka mmoja, arudi nyumbani, afaidi matunda ya jasho lake. Kwangu bado ni shujaa angalau hajawaibia masikini Watanzania, kuwaibia wazungu matajiri waliotuibia sana tangu enzi za ukoloni, ni kurudisha tuu sehemu ya mali zetu walizoiba.
mungu msaidie Mponjoli amalize Salama!.

Pia naomba msinilaumu, ni mtazamo from angle ya umasikini wa kutupwa. Samahanini!.

What...??!!!
 
Moja ya mambo ambayo yanawaangamiza Waafrika ni kufikiri maendeleo ya Ulaya yamepatikana kwa kuibia Waafrika. Huku ni kufikiri "kijinga" na ni hatari sana hasa ukitilia maanani wanaofikiri hivi ni wale wasomi wanaotegemewa kuongoza mapambano ya umaskini. Haya ni mawazo mgando yanayotulemaza na kuzidi kutudumbukiza kwenye dimbwi la umaskini. Mawazo ya huyu mchangiaji ni ya hatari sana na hayawezi kukubaliwa kwa kisingizio cha "uhuru wa kuchangia mawazo".
Kuna mzee mmoja kijijini kwetu alikuwa na hii tabia ya kusifia wezi wanaokwenda kuiba mbali na kuleta kijijini. Siku ya siku ilipofika.. usiku akavamiwa na wezi (waliotoka kijiji kingine cha mbali 🙂... Wakakomba kila kitu na kumlawiti mbele ya mkewe na kutokomea kusikojulikana. Pasco usipende niamini kuwa mpaka utakapofanyiwa unyama kama huyu mzee ndio utakapotambua madhara ya kutetea wezi.
 
Mawazo ya huyu mchangiaji ni ya hatari sana na hayawezi kukubaliwa kwa kisingizio cha "uhuru wa kuchangia mawazo".
Pasco usipende niamini kuwa mpaka utakapofanyiwa unyama kama huyu mzee ndio utakapotambua madhara ya kutetea wezi.

Sitetei wezi, natetea wacheza deal makini kwenye mapambano ya maisha kuelekea kwenye mafanikio.

Ndio maana nilitanguliza samahani, nikiimaanisha hiyo line ningeipata, I would have done the same. Huu ni ukweli mchungu unaoumiza. Mimi ni mtu mwenye hasira ya umasikini na sijapata pa kutokea. Alipokamatwa Kasusura nilisikitika, sio kwa kumpongeza kaiba, bali kwa kusuka deal na akawa mpuuzi. Ndivyo hivyo ninavyomsikitikia 'Dr.

Nawaomba tena na tena na kuwasisitizia, alichokuwa anafanya 'Dr' ni deal makini tena za kutumia akili. Kosa lake hata baada ya kuwin aliendelea mpaka 40 ikamkuta kazini.

Bongo wengi wamefanikiwa kwa deal tena nyingine za hatari, wamefanikiwa, wamepata mitaji, sasa wanafanya vitu vya maana vya kuonekana huku wakisifiwa, wengine wanalaaniwa kisa deal imebumbuluka!.

Hayo majumba mazuri na maghorofa yaliyojengwa bila mikopo, ni pesa gani?. Ni deal!. Wafanya biashara wakubwa wanafanya biashara halali na deals za haramu ndani yake, wanafanikiwa. Hawa wote hatuwaoni sababu hawajanaswa, walionaswa ndio waovu!.

Hata EPA ni deal vile vile na amini usiamini, pamoja na hizo kesi, nyingine ni viini macho, kesi watashinda
, life watawin na pongezi juu, huku mwizi wa kuku, akipigwa hadi kufa, ama kuchomwa moto!.

'Dr' alichora deal, magari ni ya kifahari, wamiliki ni matajiri, kutokana na thamani ya magari hayo, bima yake ni primium kubwa, linaibiwa leo, kesho bima wamelipa. Wamiliki had nothing to loose, wizi sio wa gun point, nini tatizo?!.

Deal kama hizo zimechezwa sana na magari ya South, kuna kampuni iliyafuatilia Tanzania, wakayashika, wakawaita wenyewe kuja kuyachukua, wakagoma maana wameshalipwa mapya na bima zao, mengine yameozea O'Bay Polisi, mengine Central, mengine polisi wamecheza deal nayo, yako barabarani!.

Huyu 'Dr' anaonekana kama mtu hatari kwa sababu amenaswa, wako wabongo wengi zaidi, hatari zaidi, wanafanya mambo mabaya zaidi, hawajanaswa na hawatanaswa, wamewini life na sasa wanaimbiwa nyimbo za sifa, shangwe na mapambio katika utaratibu wa 'The End Justify The Means' only if watu wangeona means, mbona wengi tuu ni wachafu 'Dr' ni msafi mara mia yao.

Naendelea kusisitiza, umasikini wa kutupwa ni kitu ingine bwana!. Liko kundi la watu masikini, walioridhika na umasikini wao, na wanaishi kwa furaha na amani ndani ya umasikini huo, wameridhika wakisubiri kutimia kwa ahadi ya maisha bora kwa kila Mtanzania.

Na liko kundi la masikini wa kutupwa, ambao wamejikuta kwenye umasikini huo kutokana na mifumo ya maisha, wanaishi kwenye umasikini kwa hasira kwa sababu hawana jinsi, hawana line, hawana deal wala channel ya kutokea kwenye hilo lindi la umasikini, akisikia
Mtu aliwin halafu akanaswa, anaumia, na hii ndio type yangu na naamini wako watu ninawawakilisha hapa ambao they don't dare speak the truth, ukweli ndio huo!
Samahanini sana!.

'

Samahanini sana!.'
'
Kituko...mara wachora deal mara sijui nini......unafikiri wezi wa EPA wanakwapua? ni wachonga deal nyie ndio wale mnaochoma moto wezi wa kuku na kusifia wezi wa mamilioni.....tena usiendelee kujaza bandwidth unzidi kutokota
 
Back
Top Bottom