Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Where we dare to talk openly...HEARSAY,has it that there is one very prominent tanzanian in dar owning one of these hot cars-at the time of purchase he did not know it was hot.currently it is holed up in his garage on the pretext that the engine has ceased
They have caught only one guy and charge him, how can that be while we know that it must have been a network plan... i don't condone what Dr. Mponjoli did but i am worried an advanced country [in terms of security measures and intelligence] kama UK wanashindwa kukamata mtandao wa wezi wa magari
Kwangu mimi SFO haijanisadia kwasababu mpaka leo wanahangaika na suala la RADAR, CHENGE na ile mikataba feki bila majibu... their pace in investigation is not desirable
Tanzania kazi sana kuendelea......mpaka vijamaa type hii vitoweke...Naomba wana JF mnielewe katika hili. Nasympthyise na Dr. Mponjoli. He did what he could for his family na his country. Hii ndio true patriotism kwa taifa lake na watu wake.
Mimi ni Mtanzania wa kazi ya 'kijungu jiko' nikiishi nyumba ya kupanga ya vyumba 3. Nimefanya kazi kwa miaka zaidi ya 10 kwa mshahara halali, hata msingi sina.
Mponjoli ni shujaa kwa watu wa aina yangu. Tunatamani tungekuwepo kwenye mgao wa EPA ili kubadili maisha yetu. Hatumo....
Mtanzania anayechora deal kabambe kuwatoka wazungu
Magari makali kuyaleta home Bongo, huyo ni Mzalendo wa kweli. Nimehudhuria party ya Wabongo, Mt. Vernon, hayo magari na dressing nilizoona hapo kwenye nchi za watu, huwezi kuamini ni waBongo hao huku vijijini vyao ni nyumba za mbavu za mbwa!, afadhali alichokuwa anafanya Dr. Mponjoli.
Cha msingi, tukusanye nguvu zetu, tumuombee Mponjoli amelize salama, umebaki mwaka mmoja, arudi nyumbani, afaidi matunda ya jasho lake. Kwangu bado ni shujaa angalau hajawaibia masikini Watanzania, kuwaibia wazungu matajiri waliotuibia sana tangu enzi za ukoloni, ni kurudisha tuu sehemu ya mali zetu walizoiba.
mungu msaidie Mponjoli amalize Salama!.
Pia naomba msinilaumu, ni mtazamo from angle ya umasikini wa kutupwa. Samahanini!.
Naomba wana JF mnielewe katika hili. Nasympthyise na Dr. Mponjoli. He did what he could for his family na his country. Hii ndio true patriotism kwa taifa lake na watu wake.

Jamaa kawaomba samahani. Ni mtazamo wa mtu maskini. Hata Marekani kuna wakati Jesse James alionekana shujaa.What...??!!!

Mawazo ya huyu mchangiaji ni ya hatari sana na hayawezi kukubaliwa kwa kisingizio cha "uhuru wa kuchangia mawazo".
Pasco usipende niamini kuwa mpaka utakapofanyiwa unyama kama huyu mzee ndio utakapotambua madhara ya kutetea wezi.
Kituko...mara wachora deal mara sijui nini......unafikiri wezi wa EPA wanakwapua? ni wachonga deal nyie ndio wale mnaochoma moto wezi wa kuku na kusifia wezi wa mamilioni.....tena usiendelee kujaza bandwidth unzidi kutokotaSitetei wezi, natetea wacheza deal makini kwenye mapambano ya maisha kuelekea kwenye mafanikio.
Ndio maana nilitanguliza samahani, nikiimaanisha hiyo line ningeipata, I would have done the same. Huu ni ukweli mchungu unaoumiza. Mimi ni mtu mwenye hasira ya umasikini na sijapata pa kutokea. Alipokamatwa Kasusura nilisikitika, sio kwa kumpongeza kaiba, bali kwa kusuka deal na akawa mpuuzi. Ndivyo hivyo ninavyomsikitikia 'Dr.
Nawaomba tena na tena na kuwasisitizia, alichokuwa anafanya 'Dr' ni deal makini tena za kutumia akili. Kosa lake hata baada ya kuwin aliendelea mpaka 40 ikamkuta kazini.
Bongo wengi wamefanikiwa kwa deal tena nyingine za hatari, wamefanikiwa, wamepata mitaji, sasa wanafanya vitu vya maana vya kuonekana huku wakisifiwa, wengine wanalaaniwa kisa deal imebumbuluka!.
Hayo majumba mazuri na maghorofa yaliyojengwa bila mikopo, ni pesa gani?. Ni deal!. Wafanya biashara wakubwa wanafanya biashara halali na deals za haramu ndani yake, wanafanikiwa. Hawa wote hatuwaoni sababu hawajanaswa, walionaswa ndio waovu!.
Hata EPA ni deal vile vile na amini usiamini, pamoja na hizo kesi, nyingine ni viini macho, kesi watashinda
, life watawin na pongezi juu, huku mwizi wa kuku, akipigwa hadi kufa, ama kuchomwa moto!.
'Dr' alichora deal, magari ni ya kifahari, wamiliki ni matajiri, kutokana na thamani ya magari hayo, bima yake ni primium kubwa, linaibiwa leo, kesho bima wamelipa. Wamiliki had nothing to loose, wizi sio wa gun point, nini tatizo?!.
Deal kama hizo zimechezwa sana na magari ya South, kuna kampuni iliyafuatilia Tanzania, wakayashika, wakawaita wenyewe kuja kuyachukua, wakagoma maana wameshalipwa mapya na bima zao, mengine yameozea O'Bay Polisi, mengine Central, mengine polisi wamecheza deal nayo, yako barabarani!.
Huyu 'Dr' anaonekana kama mtu hatari kwa sababu amenaswa, wako wabongo wengi zaidi, hatari zaidi, wanafanya mambo mabaya zaidi, hawajanaswa na hawatanaswa, wamewini life na sasa wanaimbiwa nyimbo za sifa, shangwe na mapambio katika utaratibu wa 'The End Justify The Means' only if watu wangeona means, mbona wengi tuu ni wachafu 'Dr' ni msafi mara mia yao.
Naendelea kusisitiza, umasikini wa kutupwa ni kitu ingine bwana!. Liko kundi la watu masikini, walioridhika na umasikini wao, na wanaishi kwa furaha na amani ndani ya umasikini huo, wameridhika wakisubiri kutimia kwa ahadi ya maisha bora kwa kila Mtanzania.
Na liko kundi la masikini wa kutupwa, ambao wamejikuta kwenye umasikini huo kutokana na mifumo ya maisha, wanaishi kwenye umasikini kwa hasira kwa sababu hawana jinsi, hawana line, hawana deal wala channel ya kutokea kwenye hilo lindi la umasikini, akisikia
Mtu aliwin halafu akanaswa, anaumia, na hii ndio type yangu na naamini wako watu ninawawakilisha hapa ambao they don't dare speak the truth, ukweli ndio huo!
Samahanini sana!.'
'